Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Siamini na kuringa huku kuna siku nitatazamwa km mtu asiye na chochote
secretarybird nikifa unichome moto 😆
secretarybird nikifa unichome moto 😆
Dogo naona umenunia gari na hata hutaki kuja pm kunisalimia babu yako. Haya!Siamini na kuringa huku kuna siku nitatazamwa km mtu asiye na chochote
secretarybird nikifa unichome moto 😆
Mimi nilipoona Jeneza la Magufuli nimetokea kujiamini sana na kutomuogopa Mtu kwani njia yetu ni Moja.Uko sahihi sana
Maisha ni fumbo kubwa sana, siku nilivyoona jeneza lenye mwili wa Reginald Mengi akipakiwa kama mzigo ilinifikirisha sana.
Tuishi haya maisha kwa unyenyekevu mkuu
Nilichokuambia baba yako umenielewa ???Dogo naona umenunia gari na hata hutaki kuja pm kunisalimia babu yako. Haya!
Hakika mkuuMimi nilipoona Jeneza la Magufuli nimetokea kujiamini sana na kutomuogopa Mtu kwani njia yetu ni Moja.
Namheshimu na kumpenda kila mtu, ila sijawahi ogopa wala mnyenyekea mtu yoyote kwani najua siku yoyote ile atalala.
Hata shikamo hunipi siku hizi yaani. Kweli pata pesa tutambue tabia yako.Nilichokuambia baba yako umenielewa ???
Ndege/Helcopter ikitoka uwanjani ujue inajaza mafuta hivyo ikianguka ndani ya muda mfupi na kulipuka watu wanakwisha kabisa (kwa kuwa ina mafuta mengi) ila ikianguka karibia itue inakuwa na mafuta kidogo. Lakini pia ndege ikiwa na hitilafu ya muda kidogo inampa rubani uwezo wa kufanya maamuzi ya haraka; pengine kumwaga mafuta yote na kuiacha ianguke bila mafuta (na hapa ndio tunasema, tunahitaji marubani wawe na ufaulu wa Physics na Hesabu). Hawa marubani wanaosoma tu, kwa kuwa wana background ya hela, huwa siwaelewi elewi.....Ajali ya kawaida huungui mpaka ugeuke nyama choma
Hii ilikuwa special modelNdege/Helcopter ikitoka uwanjani ujue inajaza mafuta hivyo ikianguka baada ya muda mfupi ujue ikilipuka watu wanakwisha kabisa (kwa kuwa ina mafuta mengi) ila ikianguka karibia itue inakuwa na mafuta kidogo. Lakini pia ndege ikiwa na hitilafu ya muda kidogo inampa rubani uwezo wa kufanya maamuzi ya haraka ya kumwaga mafuta yote na kuiacha ianguke bila mafuta (na hapa ndio tunasema tunahitaji marubani wawe na ufaulu wa Physics na Hesabu). Hawa marubani wanaosoma tu, kwa sababu wana background ya hela, siwaelewi elewi.....
Tangia Monetary doctor atambue kuwa demu wake wa JF BICHWA KOMWE - ni kidume papai jamaa hana hamu kabisa😁😁Hata shikamo hunipi siku hizi yaani. Kweli pata pesa tutambue tabia yako.
Fafanua zaidi mkuu hata kwa maneno machacheThats why ni muhimu kujua dunia ilitoka wap na mwisho wake ni upi. Don't be mistaken on that
Inauma sana mkuu.Tangia Monetary doctor atambue kuwa demu wake wa JF BICHWA KOMWE - ni kidume papai jamaa hana hamu kabisa😁😁
😁😁😁Hivi we msengee kila ukilala unaniota?
QumamamaCo unaniudhii mshambaa wewe njoo tufirane uache Uquma.
Njoo kama vipi.
Ila watu! Sasa huyo si baba yetu! si mchepuko wa mama yetu jamani! mama nae anagundu mabwana zake wote watokomea sijui anafuata nani asaiviInasikitisha sana
R I P shemeji wa taifa
😂😂Hivi we msengee kila ukilala unaniota?
QumamamaCo unaniudhii mshambaa wewe njoo tufirane uache Uquma.
Cc: secretarybird
Bila kutumia maneno magumu ni jukumu la kila mtu aliye hai kutafuta na kujua nani aliyeumba dunia na vitu na kwanin aliyeweka kifo. Fanye research, soma, sikiliza nafsi sana. Utagundua kuna holy spirit na yupo mkuu na source wa kila kitu kweny hii dunia.Fafanua zaidi mkuu hata kwa maneno machache
Sa unacheka nini Malleh😃🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣duh
Kumbe bigie alikua na pesa