Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
- Thread starter
- #21
Jamaa amekasirika maana walimgomea kwenda kupata raha za ahera😁😁Lile gaidi la ndege ya flydubai kama lingefanikiwa kuiangusha ndege wale abiria nao wangekaangika hivi, na kama ndege ingeangukia baharini wangekuwa kitoweo cha samaki, labda samaki wasiingie ndani ya ndege