Imagine kuna wengine wanakufa kwenye ajari ya bajaji ,ajari ya helcopter imekaa kibabe yan kama kobe Bryant na bint yake tuVifo vingine ni balaa tupu, kifo bora ni ufe ukiwa umelala usingizi kitandani halafu umeshiba umri mpaka dunia haikutaki na we huitaki, ufe ukiwa mzee wa siku nyingi mpaka husikii wala huoni, huna meno wala husikii utamu wa ladha ya chakula unaona bora ufe tu
Ndiyo maana bila kujali chochote kile pesa ni bora zaidi ya amani ya moyo maana hata ukichagua amani ya moyo bado utakufa tu ila hapa duniani utakuwa umeteseka sanaaThere is no true meaning to this complicated thing called life.
Hata usipovimba lazima hautadumuDuniani we vimba, lakini tambua hautadumu.
Patana na mshitaki wako upesi, wakati uwapo pamoja naye njiani; yule mshitaki asije akakupeleka kwa kadhi, na kadhi akakupeleka kwa askari, ukatupwa gerezani.Ukimuumiza mtu kwa namna yoyote ile, malizana naye kwanza, kabla ya kwenda kukesha kanisani/msikitini!
True poverty mindset, mnapenda kujitia moyo kwamba kwakuwa wote tunakufa basi hayo magari ya kifahari si lolote si chochote. Ni hivi hata ukiwa maskini unaweza kufa kwa ajali ya basi, boda boda n.k kila mtu atakufa its not a matter of being humble or not.Maisha yana njia nyingi za kuku-humble.
Leo utabebwa kwenye LC300 kupelekwa sokoni, Kesho vipande vya mwili wako vitabebwa kwenye mifuko ya plastic
View attachment 3682310
There is no true meaning to this complicated thing called life.
Masikini wanapenda sana kujifariji hasa pale wanapoona tajiri nae anakufa.True poverty mindset, mnapenda kujitia moyo kwamba kwakuwa wote tunakufa basi hayo magari ya kifahari si lolote si chochote. Ni hivi hata ukiwa maskini unaweza kufa kwa ajali ya basi, boda boda n.k kila mtu atakufa its not a matter of being humble or not.
Hakika. Tuishi tu tunavyotaka.Hata usipovimba lazima hautadumu