Umejipanga vipi na mvua za El Nino?

Umejipanga vipi na mvua za El Nino?

Kesho yetu Mungu ndio anaamua, hili nalo litapita
Hawa wanasayansi Mungu kawaleta ili maisha ya mwanadamu yasiwe ya kubahatisha .
Mbwa na nungunungu ndiye anapaswa ajibu hivyo kuwa kesho yake iko mikononi mwa Mungu.
Magufuli na cabinet yake yote walifyekwa kwa COVID-19 kwa kujifanya wanamtegemea Mungu huku Mungu mwenyewe in real hawamjui jinsi alivyo ila midomo yao iliyojaa unafiki kila siku ilitamka Mungu
 
Duh Kwa hiyo we mkuu humu amini MUNGU?
 
Nilikutana na dada mmoja kwenye hii hii mitandao

Tukiwa tunapiga story kuhusu watoto wetu waliomaliza la saba

Akaniambia mone sijui itakuwaje kwa sababu nina watoto wawili ni mapacha na ada yao itakuaje

Vilevile usisahau kuwashirikisha wakwe zako

nikamwambia wewe ni mroma na huko Roman kuna novena ya HURUMA YA MUNGU em isali kwa Imani

Sasa kanipigia simu kuniambia Mungu amejibu amepata ufadhili kwa watoto hao mpk kidato cha sita

cc Seran
 
Kapata ufadhili wapi😄
 
Back
Top Bottom