Umejipanga vipi na mvua za El Nino?

Umejipanga vipi na mvua za El Nino?

Nilikutana na dada mmoja kwenye hii hii mitandao

Tukiwa tunapiga story kuhusu watoto wetu waliomaliza la saba

Akaniambia mone sijui itakuwaje kwa sababu nina watoto wawili ni mapacha na ada yao itakuaje

Vilevile usisahau kuwashirikisha wakwe zako

nikamwambia wewe ni mroma na huko Roman kuna novena ya HURUMA YA MUNGU em isali kwa Imani

Sasa kanipigia simu kuniambia Mungu amejibu amepata ufadhili kwa watoto hao mpk kidato cha sita

cc Seran
Mkuu na Mimi naweza fanyiwa japo maombi unajua na mambo mengi mpaka Kuna muda kichwa kina stack, yani Moja haikai mbili haikai, tafran tu
 
Back
Top Bottom