Umejipanga vipi na mvua za El Nino?

Umejipanga vipi na mvua za El Nino?

Hela zipi bro? Ule ni ufadhil sio tangible kwamba utazishika pesa!
Ok sawa, ila nilimaana ufadhili ni neno Pana, mi naweza kukufadhili Kwa kukupa pesa wewe mlengwa au naweza kukufadhili Kwa kulipia pesa shuleni au naweza kukufadhili kama mwenye shule nikawa napitisha tu jina lako sasa haija elezwa ufadhili upi
 
Wamefundwa kunenepesha wanaume?
Hapana inatokea automatically, Binti anajua wajibu wake kuanzia kitandani, chakula usafi wa nguo Hadi raha sa wewe uoe mwanamke mcharuko mpiga kelele kama mashine ya kusagia mahindi, mpenda vikoba na kausha damu, unannenepa saa ngapi
 
Ok sawa, ila nilimaana ufadhili ni neno Pana, mi naweza kukufadhili Kwa kukupa pesa wewe mlengwa au naweza kukufadhili Kwa kulipia pesa shuleni au naweza kukufadhili kama mwenye shule nikawa napitisha tu jina lako sasa haija elezwa ufadhili upi
Mra nyingi hizo ni direct costs hazina haja ya kupita kwako!
 
Hapana inatokea automatically, Binti anajua wajibu wake kuanzia kitandani, chakula usafi wa nguo Hadi raha sa wewe uoe mwanamke mcharuko mpiga kelele kama mashine ya kusagia mahindi, mpenda vikoba na kausha damu, unannenepa saa ngapi
You attract what you are, wewe kama hueleweki usitegeme kupata hiyo full package hasa katika ulimwengu wa sasa🤓
 
yeah,
Sometimes kuna kuwa na vimigogoro vya hapa na pale ila inaisha.

Ndoa inahitaji utayari zingatia Hilo neno utayari
Kuishi na mtu ambaye hamuwezi kuelewana ndio tatizo linapoanzia, wote mkiwa na ego ndio mnachochea petrol, lakini ukiwa na mtu ambaye mnaweza kukaa chini kuwekana sawa na kusikilizana inakuwa rahisi!
 
Back
Top Bottom