Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Niliachika 🤔 kwamba sifai ??Tayari kaachika kitambo, yani katika umri huo tayari anajua mema na mabaya ya ndoa🤦🏽♀️
Hahhaah ajenge njiani sio?
Tulitengana
Hakuwa mbaya wala mzuri, kwa mwenendo ila tuliafikiana tuachane na ndoa tu focus na maisha
Juzi kavishwa pete 😂 na kadi ninayo na mwakani kwenye send off ntasimama kama kaka 😅😫
Bwana harusi hatoamini