Umejipanga vipi na mvua za El Nino?

Umejipanga vipi na mvua za El Nino?

Kuishi na mtu ambaye hamuwezi kuelewana ndio tatizo linapoanzia, wote mkiwa na ego ndio mnachochea petrol, lakini ukiwa na mtu ambaye mnaweza kukaa chini kuwekana sawa na kusikilizana inakuwa rahisi!
Ewaaaaah yani raha fulu kula na kuliwa
 
Unaonekana Unakaa bondeni. Mimi hapa town kila kitu kipo sokoni.
Mafuriko huko kwenu mabondeni jipangeni.
Una fahamu maana ya el Nino mkuu, nenda kasome kwanza alafu uje, mvua ya El nino Haina bonde upepo ukipigwa bati kule, sijui utajikinga wapi hapohapo mjini, balaaa linakufika chezea El nino wewe
 
Duh Kwa hiyo we mkuu humu amini MUNGU?
Hujanielewa.
Mimi si kumuamini tu Mungu, Mimi pia ni mtumishi wa Mungu, nimeona nguvu za Mungu live, nimeona makaika live . Ninachotaka kusema ni kwamba mwanadamu kupewa uwezo mkubwa, mwanadamu ni kama Mungu hapa duniani. Mungu mwenyewe hawezi kufanya lolote duniani bila ruhusa ya mwanadamu.
Hawa wanahewa ni talented na Mungu, wana vipawa kufanya forecast ili mwanadamu awe salama. Ajabu ni kwamba huyo mwanadamu hachukui tahadhari anasema anamtegemea Mungu
 
You attract what you are, wewe kama hueleweki usitegeme kupata hiyo full package hasa katika ulimwengu wa sasa🤓
Hapana ni ujuaji tu wa
Hapo ndio neno utayari linaingia
Imagine ume amka asubuhi hamja piga mswaki unataka kumnyonya denda demu wako ile ladha ya uchachu kama hampendani kweli inalera shida ila kama mnapendana full minyonyo Hadi kumeza🫣
 
Hujanielewa.
Mimi si kumuamini tu Mungu, Mimi pia ni mtumishi wa Mungu, nimeona nguvu za Mungu live, nimeona makaika live . Ninachotaka kusema ni kwamba mwanadamu kupewa uwezo mkubwa, mwanadamu ni kama Mungu hapa duniani. Mungu mwenyewe hawezi kufanya lolote duniani bila ruhusa ya mwanadamu.
Hawa wanahewa ni talented na Mungu, wana vipawa kufanya forecast ili mwanadamu awe salama. Ajabu ni kwamba huyo mwanadamu hachukui tahadhari anasema anamtegemea Mungu
MUNGU hawezi Fanya chochote bila ruhisa ya mwanadamu?

Kanisani kwenu ndio umefundishwa hivyo, Kwa hiyo ukitaka kufa MUNGU mpaka asubiri we ukubali? Una tatizo mkuu Rudi kaisome vizuri dini
 
Hapana ni ujuaji tu wa

Imagine ume amka asubuhi hamja piga mswaki unataka kumnyonya denda demu wako ile ladha ya uchachu kama hampendani kweli inalera shida ila kama mnapendana full minyonyo Hadi kumeza🫣
Ndoa is more than that, hizo habari hata vichochoroni zipo! Changua mtu ambaye ana utu hata upendo ukiisha bado mnaweza kuvumiliana na kuoshi mpaka mwisho! Chagua mtu wa mahaba uone cha moto!
 
Ndoa is more than that, hizo habari hata vichochoroni zipo! Changua mtu ambaye ana utu hata upendo ukiisha bado mnaweza kuvumiliana na kuoshi mpaka mwisho! Chagua mtu wa mahaba uone cha moto!
Lakini mi naamini unapo taka kupata mtu sahihi lazima akamilike kila idara walau, huwezi puuzia mahaba mana ni sehemu ya ndoa
 
Back
Top Bottom