Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Ndiyo bruh.... shirika lao liko vzr!!Oky, wapo vizuri wale sisters, niliwahi kufanya kazi nao pale morogoro bigwa, sikujua kama ni shule nyingi wako nazo.
Ndiyo bruh.... shirika lao liko vzr!!Oky, wapo vizuri wale sisters, niliwahi kufanya kazi nao pale morogoro bigwa, sikujua kama ni shule nyingi wako nazo.
😄😄Unajua nyie ndio badae mkisombwa na mafuriko mnaanza mama kizimkazi mama mama, KUMBE niwabishi sana, mnachoshaaaa
Uwekemo na tuthumuni sasa sio unaacha tu moyo bila chochote kitu😎Ingia kwangu mama, moyo wangu nimeucha mlango wazi uingie wewe...😋
Utanitumia vn usijali, lakini kwanini uongeze single maza ambaye baadae mnarudi kumbeza humu? Aisee!Binti alinipenda, sikuwa nimemwelewa kihivyo katika naye kutaka aonekane yumo,
Nikamchukua akawa mpango wa kando, hivyo nilicho kuwa nakitaka kipindi hiko ni mtoto na ilifanikiwa!!
Ishu moja alihitaji nimuoe kitu ambacho sikuwez na sababu ambazo hazitawekwa hapa
Tupo na furaha tunawafurahia wanetu,.unyama tuu hata mwezi km wa nne tulikuonana kupata dinner, hata October tume arrange.....
Hatukuwa na ugomvi Kuna mambo yaliyokuwa kati yetu na kupelekea this
Nimechoka kutype
Bado hujajua mambo mengi usilinganishe ndoa na kuoshi na mtu muda mfupi mkashindwana!Lakini seran mbona Nisha wahi kuishi na pisi, mtanga single mother na ndio nilipo jifunza ugumu wa kuishi na single mother, ilikua kasheshe
Ni wao ndio wametaka mpaaka tunaoana nakuw anajua mapungufu ya mwenzangu na nimeamua kuyabeba au la!Kwani we seran unaweza vumilia kuishi na mtu asie na nguvu za kiume? Kwanini useme mahaba HAYANA umuhimu, ilihali nyie wenyewe ndio CHANZO mpaka watu wanaongeza uume nakufa juu
sio single Maza bhn 😆Utanitumia vn usijali, lakini kwanini uongeze single maza ambaye baadae mnarudi kumbeza humu? Aisee!
Unamuitaje sasa? Baby mama?sio single Maza bhn 😆
Hahahah hawajui kitu sio?Na siwezi beza single Maza anyhow angalia kwenye mada zote hao ni washamba na waoga tuu.....
Sasa utawaza kitu ambacho hakijafika wakati vilivyopo vinakusumbua ndugu yangu.Ni kweli MUNGU kwanza lakini nawe jiokoe kaka MUNGU atie kheri kwenye kujiokoa inshaallah
Utofauti sasa huo hujanambia ni upi?Bado hujajua mambo mengi usilinganishe ndoa na kuoshi na mtu muda mfupi mkashindwana!
Hawajielewi haoUnamuitaje sasa? Baby mama?
Hahahah hawajui kitu sio?
Ndio mana ukapewa tahadhari na serikaliSasa utawaza kitu ambacho hakijafika wakati vilivyopo vinakumbua ndugu yangu.
Uhangaike na kula ya familia, kodi bills mbalimbali zen uwaze kitu cha mbeli aaah
Inawezekana pia!Hawajielewi hao
Mambo mengine mpaka ufanye practically ukielezewa unaona kama fix tuUtofauti sasa huo hujanambia ni upi?
Ushasema tunapita, SAFE ya nini?We jamaa inaonekana ni mlafi wa makebo makubwa ya mishangazi 😂 hahahahaha, ila jilie mkuu dunia yenyewe hii TUNAPITA but play safe mkuu
Aha poa basi tuombe Dua🙏 nifahamishwe japo si Kwa maumivu iwe ni sehemu ya kujifunza Kwa amaniMambo mengine mpaka ufanye practically ukielezewa unaona kama fix tu
Aaaaa mkuu unataka kuchomesha tena play safe bhana msijaze street children mtaaaniUshasema tunapita, SAFE ya nini?
Sometimes you have to learn it in a hard way!Aha poa basi tuombe Dua🙏 nifahamishwe japo si Kwa maumivu iwe ni sehemu ya kujifunza Kwa amani