Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Mvua zikizidi, naenda kujificha kwenye nyumba za ibada
Hapa ndio kwao na pesa mkuu, yaani pesa haikatiki maana mimi ndio nimeizaa...😜Uwekemo na tuthumuni sasa sio unaacha tu moyo bila chochote kitu😎
Hapo sawa tutaongea lugha moja mzeeHapa ndio kwao na pesa mkuu, yaani pesa haikatiki maana mimi ndio nimeizaa...😜
Tatizo mapokeo.MUNGU hawezi Fanya chochote bila ruhisa ya mwanadamu?
Kanisani kwenu ndio umefundishwa hivyo, Kwa hiyo ukitaka kufa MUNGU mpaka asubiri we ukubali? Una tatizo mkuu Rudi kaisome vizuri dini
Kaka ushawahi pigiwa simu na boss uko wapi sahivi ukiangalia njia zimejaa maji, sasa mkuu GSM hata mvua inyeshe mwezi atakufa njaaWaliojiajiri fresh? Mimi nadhani walioajiriwa ndio fresh maana hata wasipoenda kazini mwisho wa mwezi mshiko unaingia.
Sijawahi kaka. Hapo ungesema matajiri, kibongobongo ukisema waliojiajiri ndio hawa mawinga, mama ntilie, machinga, bodaboda , wenye maduka n.k ambao wasipoenda kazini wiki moja hali inakuwa tete. GSM unaweza kusema amejiajiri?Kaka ushawahi pigiwa simu na boss uko wapi sahivi ukiangalia njia zimejaa maji, sasa mkuu GSM hata mvua inyeshe mwezi atakufa njaa
Basi kaajiriwaSijawahi kaka. Hapo ungesema matajiri, kibongobongo ukisema waliojiajiri ndio hawa mawinga, mama ntilie, machinga, bodaboda , wenye maduka n.k ambao wasipoenda kazini wiki moja hali inakuwa tete. GSM unaweza kusema amejiajiri?