Umejipanga vipi na mvua za El Nino?

Umejipanga vipi na mvua za El Nino?

Hapa waliojiajiri wanachekelea tu, wale wa online business fresh tu, waliojenga fresh tu, una wifi Yako ndani fresh tu, una pisi au brazamen fresh tu, vyakula vya tahadhari umejanza ndani, fresh tu sijui we UMEJIPANGA vip
Unaonekana Unakaa bondeni. Mimi hapa town kila kitu kipo sokoni.
Mafuriko huko kwenu mabondeni jipangeni.
 
Back
Top Bottom