Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Dah mkuu, Kuna vitu nikivifikiria sipati picha kabisa, tuliojiajiri walio ajiriwa wote tupo kwenye kipindi kigumu mkuuKesho yetu Mungu ndio anaamua, hili nalo litapita
Ukiwa na pisi au brazamen ndani inasaidia niniHapa waliojiajiri wanachekelea tu, wale wa online business fresh tu, waliojenga fresh tu, una wifi Yako ndani fresh tu, una pisi au brazamen fresh tu, vyakula vya tahadhari umejanza ndani, fresh tu sijui we UMEJIPANGA vip
Hawa wanasayansi Mungu kawaleta ili maisha ya mwanadamu yasiwe ya kubahatisha .Kesho yetu Mungu ndio anaamua, hili nalo litapita
Hapana mkuu nime Manisha ke awe na brazamen na me awe na pisi, mvua kama hizi haipendezi mnalundikana wote me mkuu, wazo langu tu don't take it seriouslyUkiwa na pisi au brazamen ndani inasaidia nini
We jamaa inaonekana ni mlafi wa makebo makubwa ya mishangazi 😂 hahahahaha, ila jilie mkuu dunia yenyewe hii TUNAPITA but play safe mkuuKujifungia kwa mshangazi
Inshallah unajua pressure ni kubwa sana hususani miundombinu yetu hii ya nchi si unaijuaNina imani hakuna kitakachotokea
Duh Kwa hiyo we mkuu humu amini MUNGU?Hawa wanasayansi Mungu kawaleta ili maisha ya mwanadamu yasiwe ya kubahatisha .
Mbwa na nungunungu ndiye anapaswa ajibu hivyo kuwa kesho yake iko mikononi mwa Mungu.
Magufuli na cabinet yake yote walifyekwa kwa COVID-19 kwa kujifanya wanamtegemea Mungu huku Mungu mwenyewe in real hawamjui jinsi alivyo ila midomo yao iliyojaa unafiki kila siku ilitamka Mungu
Kapata ufadhili wapi😄Nilikutana na dada mmoja kwenye hii hii mitandao
Tukiwa tunapiga story kuhusu watoto wetu waliomaliza la saba
Akaniambia mone sijui itakuwaje kwa sababu nina watoto wawili ni mapacha na ada yao itakuaje
Vilevile usisahau kuwashirikisha wakwe zako
nikamwambia wewe ni mroma na huko Roman kuna novena ya HURUMA YA MUNGU em isali kwa Imani
Sasa kanipigia simu kuniambia Mungu amejibu amepata ufadhili kwa watoto hao mpk kidato cha sita
cc Seran
Bendel memorial schoolKapata ufadhili wapi😄
Hongera zenu, muweke ndani kabla ya elnino!Bendel memorial school
Mm nilimwambia tuu kuhusu Sala hiyo nna mzazi mwenzangu tunafanya co parentingHongera zenu, muweke ndani kabla ya elnino!
Hii shule nakukumbuka si ipo Morogoro, Bernad Bendel kama nipo sahihi.Bendel memorial school