sumu-ya-panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 638
- 581
Acha upumbavu wako. Mmelaaniwa nyie mlioshawishi vijana wadogo kupambana na vyombo vya dola huku familia zenu zikiwa salama ughaibuni.Ile pesa uliyopokea kwenda shangilia CCM na kujaza idadi nikukumbushe ile 5000, na 10000 ndio imeruhusu ardhi inywe damu za ndugu zako,ardhi na mbingu zimeshuhudia ,umekubali kuvaa kijani , na uifunike uchi wa ardhi kwa damu za ndugu zako ,UMELAANIWA,,,,UMELAANIWA ,,,,UMELAANIWA....kwa kafara za damu ya ndugu zako ili Alikununua awe mkuu, Siku ya mwisho utajibu, nafsi yako ikiwa mbele ya Muumba wako na damu ndugu yo ikiwa mshitaki...
Polis utajibu nini mbele ya baba Muumba,
Maarass , hakuna Cha kutubu hapo Yahudi Netanyahu worshipper weweadriz Lucha @ magonjwa mtambuka na dogo The Icebreaker mikono yenu imejaa damu kwa kukaa kimya bila kutubu. Bado mlango wa msamaha upo wazi tubuni tutawasamehe.
Ndugu yangu nikwambie jambo dogo. Ukimya nao ni sehemu ya hekima na nidhamu, sio kila jambo ni la kujibu.Acha upumbavu wako. Mmelaaniwa nyie mlioshawishi vijana wadogo kupambana na vyombo vya dola huku familia zenu zikiwa salama ughaibuni.
Acha upumbavu wako. Mmelaaniwa nyie mlioshawishi vijana wadogo kupambana na vyombo vya dola huku familia zenu zikiwa salama ughaibuni.