Uliyosema ni kweli..mke niliyeanza nae maisha tuliachana tatizo ilikua ni mm,ulevi,kipgo na uzinzi..gafla akasepa na kuanza maisha yake..nilikua nampenda sana ila ujana mwing..imepta miezi 6 nikaoa hapo ndipo nikaona umuhimu wa yule mke wa kwanza..vituko sio vituko kwa huyu mwanamke maana nilijilekebisha baada ya kukimbiwa,pombe niliacha,kupgna hakuna,ila yule mwanamke alikua msaliti,mbishi. Hapo ndio neno lako mtoa maada,niliogopa kumuacha kwa kuhofia jamii itanionaje lakn mwisho wa siku ikabdi mm nikimbie mji na kumwacha bila mwelekeo.