Umemchoka mienendo yake ila unaogopa jamii itakusema ukimuacha

Kulikoni mkuu?
 
Mtoa mada atakuwa amapata fundisho tosha kabisa. Pia iwaendes wanawake wengine. Msiwasikilize hawa single maza....hawana soko so wanaishia kulia lia tuu maana kilichobakia kwao ni kugeggedwa na kutupwa kule🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kumbe muanzisha uzi hana ndoa ndio maana ana support divorce ili wanaoishi bila mahusiano ya ndoa waongezeke mitaani.
 
Maisha ya ndoa yamewashinda lakini hamuishi kuwaongelea wanandoa.

Wewe ni mnywaji wa Soda lakini focus yako ipo kuwasema wanywa Bia, hapo mwenye matatizo ni nani ?
 
Unaishi kwa kujitesa kisa unaogopa watu ambao na wao wana yao mengi tu ?...ushamba huo.

... anyway subira yako inaweza kuvuta heri.
 
Modern marriage is the worst prison in the world
 
Mtoa mada atakuwa amapata fundisho tosha kabisa. Pia iwaendes wanawake wengine. Msiwasikilize hawa single maza....hawana soko so wanaishia kulia lia tuu maana kilichobakia kwao ni kugeggedwa na kutupwa kule🤣🤣🤣🤣🤣
Ha ha haa,sawa🤣
 
Mungu akubariki sana na ameshakusamehe dhambi zako zote kwa kutoa ukweli mchungu kama huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…