.Watu wengi hutumia Majina mazuri ya kuvutia kwa watu wanaowapenda.
Na kuna wale wenye wapenzi wengi hutumia Majina ambayo sio mazuri sana kuwa save watu hao kwenye simu zao.
Mimi nime msave π wewe Je umemuandika vipi?
π π π π πIla kama mtu ni fundi alafu ni mhariri namsevu jina lake, mfano Fundi mahiri wa ujenzi , au jina la mkoa anaotokea mfano joseph_mbeya
manhoodπWewe ni mwanaume. Hongera sana.
Ni mazoea tu kwakweli.Daaa! Kwa nini?
Mimi nimesave kwa jina lake halisi FaizaFoxy na niko tayari kulitetea ukitokea mtiti na mama watotoWatu wengi hutumia Majina mazuri ya kuvutia kwa watu wanaowapenda.
Na kuna wale wenye wapenzi wengi hutumia Majina ambayo sio mazuri sana kuwa save watu hao kwenye simu zao.
Mimi nime msave π wewe Je umemuandika vipi?