Angeuliza kwanza kwa nini amsave hivo?Kuna mwanamke alimsevu mumewe kwenye simu "MBWA"
Kuna siku jamaa akawa anatafuta simu ya mkewe akaona isiwe tabu ngoja aipige. Alipoiona jina alilokutana nalo aliishiwa pumzi. Yule bwana hakutaka maneno mengi, aliichukua simu Hadi kwa baba mkwe na kumuachia simu baba mkwe na kumwambia amwite mtoto wake.
Jamaa Sasa hivi anainjoi ubachela upyaa. Anaweza asirudi au arudi saa kumi usiku. Anaweza kwenda kulala bila kupiga mswaki. Anaweza kuvaa boxer hata wiki nzima.
MTU akikuita mbwa hujui maana yake mpaka uulize?Angeuliza kwanza kwa nini amsave hivo?
😂😂na nimeweka call announcement😂😅 Sasa Jina si litakuwa refu sana?
Fetty MawengeLimekaa kisayansi sana.
My Love ❤️❤️Watu wengi hutumia Majina mazuri ya kuvutia kwa watu wanaowapenda.
Na kuna wale wenye wapenzi wengi hutumia Majina ambayo sio mazuri sana kuwa save watu hao kwenye simu zao.
Mimi nime msave 💖 wewe Je umemuandika vipi?
Kaka ako yuko wapi....😊Uko kama brother wangu mmoja anasema,sasa namba yake anaifahamu aisave ya nini
Aishi maisha marefu brother wangu
Mi pia aiseejina lake alilopewa na wazazi wake