Jasiri haachi asili.........kocha mae!unafanya kitu kizuri sana sana, c mzazi mwenzio? nani ale hizo pesa, hebu kula pesa huko.
hahahaha nimekusoma wangu!!I may be walking slowly, But I never walk backwards! and Whenever I walk backwards, Its for a long jump!!
Hahahah nimegundua sie wengine tunajomasikinisha wenyewe kwa kujitia twajua kususa loh! Mie nlimsusia mpaka vya kwangu! Laiti ningemjua Matty mapema hakuna rangi angeachaiona mbaba yule.unafanya kitu kizuri sana sana, c mzazi mwenzio? nani ale hizo pesa, hebu kula pesa huko.
Hahaha kwa hiyo mzazi mwenzie ni kwenye pesa tu eh? "kwenye kutoa naniino" hakuna cha mzazi mwenzie si ndio?unafanya kitu kizuri sana sana, c mzazi mwenzio? nani ale hizo pesa, hebu kula pesa huko.
Kama uko poa....mimi poa sana....
Yaani lijamaa lilisigina roho yako hivihivi......ila usilichune kama afanyavyo Maty....kuna siku utalipa....
wacha kabisa, sasa wangu alikuwa ni mtu wa makampani, hamuwezi kukaa wawili hivi labda iwe kwake but kama mnatoka kuburudika lazima atafute frnds zake mlianzishe, bac frnds wanakuja na ma gfnds zao, tunaanza kufahamiana hapo, cku nilipoachwa wadada mackini wananical kwa huruma kweli kuniuliza nn kimetokea jamani mbona tunackia hivi na hivi na tulivyokuwa tunaona manapendana? ilikuwa kama nikimic kwenye kampani wadada wanamuuliza nyamayao yupo wapi mbona leo upo mwenyewe jibu alilokuwa anawapa ni kwamba "nimetemana nae"...akiulizwa y? "bac tu nimeamua iwe hivyo"....baada ya cku chache mmoja wa wadada akaniambia fulani ameshapata gfnd mwingine ndio cku hizi tunakuwa nae, nilikaaga chuo likizo yote ya miezi miwili pombe na mie, mie na pombe, halafu sasa hivi anajifanya nyooo nyooo.
Hahaha kwa hiyo mzazi mwenzie ni kwenye pesa tu eh? "kwenye kutoa naniino" hakuna cha mzazi mwenzie si ndio?
kuna tofauti kati yangu na Maty swir, Maty huyo ni mzazi mwenzie, cdhubutu hata kukaa nae sec 1.
Lol nyamayao ulianza nini mapema? Mwe watu mmepinda kiama, matty mie mbavu zinauma leo bwana mi ctaki
kweli kabisa hiyo bold, unajua nachoshangaa anataka nini wakati anajua ushachukuliwa? ni walewale waharibifu tumie niliwahi pia kuolewa ila nilianza matuc mapema ndio mana nikapitia hayo yote, nilivyoachwa nilipata uoga kabisa wa kupenda tena, nilikuwa najua wote ni wale wale, yaani kile kipindi kilinitesa sana, nilikuwa nakunywa pombe za aina zote kasoro gongo, college nilikuwa nakuona kama segerea, ilinichukua muda sana kupenda, na mr alifanya kazi kubwa sana kunirudisha kwenye hali ya kimapenzi, ilichukua muda kumuamini lakini ikawa na ikawa na maisha yakaendelea, halafu mwanaume wa hivi anakuja na hadithi zake za adunuwac kwamba alipitiwa nimpe nafac anielezee cjui nn na nn, yaani nazidigi kumchukia kwa jinc anavyonisumbua....Gaga kiujumla maisha matamu ukikubaliana na matokeo.
shoga achana nae kabisa atakuharibia uhondo wake, tena afadhali kenda zake ,wanaume wako wengi na siku hizi kila mtu handsome sijui ni hizo scrub????? hahahahaha hapa lazima babu ajibukama ulikuwepo mpenzi, umekaa na wako mara simu grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr mbona ameshaharibu vya kutosha tu, maana mtu akiona hivyo haamini kama nyinyi hamkumbushiagi
hahahahah...matuc MJ1.
Ngoja nikamstue...Mkuu mbu akikujaga hapa......
Hahahah nimegundua sie wengine tunajomasikinisha wenyewe kwa kujitia twajua kususa loh! Mie nlimsusia mpaka vya kwangu! Laiti ningemjua Matty mapema hakuna rangi angeachaiona mbaba yule.
Siongelei kesi bila kuwa na Mbu pembeni yanguHivi unajua hatujamalizana ile kesi yetu?
wee mwanamke unaonekana uko very desperate kichiziAksante Mbu kwa hiyo faraja........kweli kabisa. Ubarikiwe
May ask y swt?? Nanusa harufu ya wewe kuogopa sumaku yake...
nope nope...sasa narudiana nae wa nn, ingekuwa tuna mtoto ningecheza game kama ya Maty, sasa huyu hana faida yoyote kwangu sana sana "ataniharibia maisha"
Kama yeye yuko pembeni yako, basi ujue mi niko nyuma yako.Siongelei kesi bila kuwa na Mbu pembeni yangu