Umeniharibia maisha! ...what?

Umeniharibia maisha! ...what?

I may be walking slowly, But I never walk backwards! and Whenever I walk backwards, Its for a long jump!!
hahahaha nimekusoma wangu!!
Its for a "long Jump" sio? ok ok!
 
  • Thanks
Reactions: RR
unafanya kitu kizuri sana sana, c mzazi mwenzio? nani ale hizo pesa, hebu kula pesa huko.
Hahahah nimegundua sie wengine tunajomasikinisha wenyewe kwa kujitia twajua kususa loh! Mie nlimsusia mpaka vya kwangu! Laiti ningemjua Matty mapema hakuna rangi angeachaiona mbaba yule.
 
Kama uko poa....mimi poa sana....
Yaani lijamaa lilisigina roho yako hivihivi......ila usilichune kama afanyavyo Maty....kuna siku utalipa....

kuna tofauti kati yangu na Maty swir, Maty huyo ni mzazi mwenzie, cdhubutu hata kukaa nae sec 1.
 
wacha kabisa, sasa wangu alikuwa ni mtu wa makampani, hamuwezi kukaa wawili hivi labda iwe kwake but kama mnatoka kuburudika lazima atafute frnds zake mlianzishe, bac frnds wanakuja na ma gfnds zao, tunaanza kufahamiana hapo, cku nilipoachwa wadada mackini wananical kwa huruma kweli kuniuliza nn kimetokea jamani mbona tunackia hivi na hivi na tulivyokuwa tunaona manapendana? ilikuwa kama nikimic kwenye kampani wadada wanamuuliza nyamayao yupo wapi mbona leo upo mwenyewe jibu alilokuwa anawapa ni kwamba "nimetemana nae"...akiulizwa y? "bac tu nimeamua iwe hivyo"....baada ya cku chache mmoja wa wadada akaniambia fulani ameshapata gfnd mwingine ndio cku hizi tunakuwa nae, nilikaaga chuo likizo yote ya miezi miwili pombe na mie, mie na pombe, halafu sasa hivi anajifanya nyooo nyooo.

Umeona eeeee mtu anakuacha kwa mbwembwe halafu baadae eti lol, huyu baba aliniacha kwa mbwembwe jama. Sasa eti anakumbuka lol. wonders shall never end ooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Hahaha kwa hiyo mzazi mwenzie ni kwenye pesa tu eh? "kwenye kutoa naniino" hakuna cha mzazi mwenzie si ndio?

Naniino si aliiacha mwenyewe sina makosa mie kabisa, pesa zake nakula cause anataka kunigeuza mi ndondocha lake la mapenzi pambaf zake
 
mie niliwahi pia kuolewa ila nilianza matuc mapema ndio mana nikapitia hayo yote, nilivyoachwa nilipata uoga kabisa wa kupenda tena, nilikuwa najua wote ni wale wale, yaani kile kipindi kilinitesa sana, nilikuwa nakunywa pombe za aina zote kasoro gongo, college nilikuwa nakuona kama segerea, ilinichukua muda sana kupenda, na mr alifanya kazi kubwa sana kunirudisha kwenye hali ya kimapenzi, ilichukua muda kumuamini lakini ikawa na ikawa na maisha yakaendelea, halafu mwanaume wa hivi anakuja na hadithi zake za adunuwac kwamba alipitiwa nimpe nafac anielezee cjui nn na nn, yaani nazidigi kumchukia kwa jinc anavyonisumbua....Gaga kiujumla maisha matamu ukikubaliana na matokeo.
kweli kabisa hiyo bold, unajua nachoshangaa anataka nini wakati anajua ushachukuliwa? ni walewale waharibifu tu
 
kama ulikuwepo mpenzi, umekaa na wako mara simu grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr mbona ameshaharibu vya kutosha tu, maana mtu akiona hivyo haamini kama nyinyi hamkumbushiagi
shoga achana nae kabisa atakuharibia uhondo wake, tena afadhali kenda zake ,wanaume wako wengi na siku hizi kila mtu handsome sijui ni hizo scrub????? hahahahaha hapa lazima babu ajibu
 
Hahahah nimegundua sie wengine tunajomasikinisha wenyewe kwa kujitia twajua kususa loh! Mie nlimsusia mpaka vya kwangu! Laiti ningemjua Matty mapema hakuna rangi angeachaiona mbaba yule.

ucrudie tena kamwe.
 
May ask y swt?? Nanusa harufu ya wewe kuogopa sumaku yake...

nope nope...sasa narudiana nae wa nn, ingekuwa tuna mtoto ningecheza game kama ya Maty, sasa huyu hana faida yoyote kwangu sana sana "ataniharibia maisha"
 
nope nope...sasa narudiana nae wa nn, ingekuwa tuna mtoto ningecheza game kama ya Maty, sasa huyu hana faida yoyote kwangu sana sana "ataniharibia maisha"

Sijasema urudiane nae....ila nimesema unaogopa ukikaa nae karibu mtarudiana.....trying to say you not over him...
Ila naishia hapa...right?
 
Back
Top Bottom