Kulikuwa na haja gani Mungu kumpa mtu akili ya kuunda/kutengeneza magari?Watanzania tunaendekeza na kupenda sana anasa kwa mambo ya kipuuz kama magari na umeme wakati Mungu katuumba na miguu. Kulikuwa na haja gani basi kuwa na miguu? Mazinjathropus na binadamu wa awali walikuwa hawatumii magari na umeme na Maisha yao yalikuwa bora na nafuu kutuliko.
Hapana mkuu. Huwa nayapenda tu majina haya; Namanyere, Nakapanya, Nanyamba, n.kNamanyere [emoji1][emoji1]
Ndo upo uko Mkuu?
Asante mkuu. Kuna watu Wana nyumba za mil 40 hawajazikatia bima. Lkn wakinunua vigari vya milioni10 utashangaa wanaanza kuhangaika na bimaNi ulimbukeni tu wa kukata hiyo bima
25million.Analipishwa Milioni gari yake aliivalue kiasi gani? au mnachangia tu uzi bila ya uelewa namna gani Bima inafanya kazi.
Hiyo gari thamani yake ni milioni 30+?Dah ila kweli hata mi nawazaga hapa kuna dogo analipishwa milioni kwa mwaka comprehensive akati gari yenyewe rav 4 Old. Inasikitisha kwakweli.
Analipishwa Milioni gari yake aliivalue kiasi gani? au mnachangia tu uzi bila ya uelewa namna gani Bima inafanya kazi.
Hiyo gari thamani yake ni milioni 30+?
Au umekurupuka?
Hapa Tanzania kuna majitu yanapenda sana kuropoka! Sasa hili taahira linajua maana ya Bima kweli? Hivi kuna mtu anajua ajali itamkuta lini? Natamani hili bwege lililoleta hii mada likule mzinga labda litaelewa maana ya Bima!Analipishwa Milioni gari yake aliivalue kiasi gani? au mnachangia tu uzi bila ya uelewa namna gani Bima inafanya kazi.
Kheee!Watanzania tunaendekeza na kupenda sana anasa kwa mambo ya kipuuz kama magari na umeme wakati Mungu katuumba na miguu. Kulikuwa na haja gani basi kuwa na miguu? Mazinjathropus na binadamu wa awali walikuwa hawatumii magari na umeme na Maisha yao yalikuwa bora na nafuu kutuliko.
Fanya kazi wewe mgerasi.Watanzania tunaendekeza na kupenda sana anasa kwa mambo ya kipuuz kama magari na umeme wakati Mungu katuumba na miguu. Kulikuwa na haja gani basi kuwa na miguu? Mazinjathropus na binadamu wa awali walikuwa hawatumii magari na umeme na Maisha yao yalikuwa bora na nafuu kutuliko.
Inakuwaje mkaldayo?Fanya kazi wewe mgerasi.
Umechemka sana mkuu.Ki-gari cha milioni 15 au chini ya hapo bima comprehensive inakusaidia nini? Hicho ki_gari ukikitembelea mwaka mmoja tu kimechoka na kugeuka kuwa chuma chakavu. Sasa bima comprehensive ya nini?
Mzee wa fx shikamoo babaKwa hio crown yangu haifai kuiwekea hio bima. Ungejua mabaharia tulivopambana mpk kufikia kumiliki gari si mchezo