TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Sio ushamba tu ni ujuha wa hali ya juuKuna vijana mimi nawaona wa hovyo sana,utakuta kaoa mke ana Taaluma yake ,yeye maisha yake ni yakubangaiza mwenzangu na mimi kama sio zaidi ya mimi lakini anamzuia mke wake asifanye kazi kwa kuajiriwa na anakuwa mbogo,ukimuangalia mwanamke kachokaaa na Ana taaluma yake Angeweza kupambana akapata ajira mambo yakaenda ila anaishia kukaa nyumbani.
Wazazi wake walimsomesha ili iweje sasa kwa muktadha wa elimu yetu,?
Wapeni uhuru wake zenu kufanya kitu wanajisikia amani maana wanakuwaga msaada sana hawa mara nyingi ukibakiwa na buku mia mbili zako.
Unafanya hivyo kwa faida gani na ili iweje?, kama hutati afanye kazi kwa watu basi mpe biashara inayoeleweka aifanye.
Ni ushamba
Halafu hiyo 300k inakuwa kwaajili ya nini upande wakouchoyo tu,,yani nikae tu nyumbani hakikisha unanilipa walau 300k kwa mwezi,,hapo huduma zingine zote unatoa mwenyewe hadi nguo za ndani unaninunulia🤒🤒
Yaani uboya kabisaSio ushamba tu ni ujuha wa hali ya juu
kuweka tu kwenye account itulie tuliiiiiHalafu hiyo 300k inakuwa kwaajili ya nini upande wako
hiyo 300k inakua ya kazi gani?uchoyo tu,,yani nikae tu nyumbani hakikisha unanilipa walau 300k kwa mwezi,,hapo huduma zingine zote unatoa mwenyewe hadi nguo za ndani unaninunulia🤒🤒
umesahau,,tena kwenye kitanda chake,au kwenye kochi zake😌au bafu lake,au jiko lake.Wivu, anafikiri kazini ma boss watakula mzigo hajui kwamba hata hapo hapo nyumbani watu wanaweza kula mzigo tena ki-ulainii
Just for funny,,ikae tu bank,sas si hataki nkalipwe mshahara wacha anilipe yeye🤒 atakua mume na boss wangu pia au yeye ndo biashara yangu.hiyo 300k inakua ya kazi gani?
Sisi jambo TV tumeongea na huyo kijana. Majibu yale ni hayaKuna vijana mimi nawaona wa hovyo sana,utakuta kaoa mke ana Taaluma yake ,yeye maisha yake ni yakubangaiza mwenzangu na mimi kama sio zaidi ya mimi lakini anamzuia mke wake asifanye kazi kwa kuajiriwa na anakuwa mbogo,ukimuangalia mwanamke kachokaaa na Ana taaluma yake Angeweza kupambana akapata ajira mambo yakaenda ila anaishia kukaa nyumbani.
Wazazi wake walimsomesha ili iweje sasa kwa muktadha wa elimu yetu,?
Wapeni uhuru wake zenu kufanya kitu wanajisikia amani maana wanakuwaga msaada sana hawa mara nyingi ukibakiwa na buku mia mbili zako.
Unafanya hivyo kwa faida gani na ili iweje?, kama hutati afanye kazi kwa watu basi mpe biashara inayoeleweka aifanye.
Ni ushamba
Ni kweli mwanamke akipata pesa anakuwa na nguvu kuzidi, cha maana hapo ni kuhakikisha unakuwa na kipato zaidi yake, kumzuia kufanya kazi wakati mwenyewe huna kazi ni kutesa watoto, muache afanye kazi wakat wewe unaumiza akili kutengeneza michongoSisi jambo TV tumeongea na huyo kijana. Majibu yale ni haya
Anahofia mke wake akipata kipato kikubwa atamkimbia kuolewa na wenzake wanaojiweza
Anaogopa kuliwa na walionavyoana
kijana kasema mwanamke akipata pesa hua mbogo, huwezi tena kum control kwani yeye ndo analipa Bill zote. Na inahitaji mwanamke mwenye akili kuishi na mwanaume maskini
Suluhu ni yeye kuonesha jitihada za kupambana,yamkini kuna wanawake wengi wanamna hiyo,lakini mwanaume huwezi kuishi kwa hofu,pia haya mambo ni tabia na ethnicity huchangia na unaa,mwanamke kuna vitu anavihitaji hawezi kumwambia mwanaume kila kitu,kama ndivyo amfungulie biashara inayoeleweka sio kumzuia,siku akipata changamoto ndani kunakuwa kama tanuri la moto lakini mwanamke akiwa na kipato inamsaidia,hawa ni backupSisi jambo TV tumeongea na huyo kijana. Majibu yale ni haya
Anahofia mke wake akipata kipato kikubwa atamkimbia kuolewa na wenzake wanaojiweza
Anaogopa kuliwa na walionavyoana
kijana kasema mwanamke akipata pesa hua mbogo, huwezi tena kum control kwani yeye ndo analipa Bill zote. Na inahitaji mwanamke mwenye akili kuishi na mwanaume maskini
AbsolutelyWivu, anafikiri kazini ma boss watakula mzigo hajui kwamba hata hapo hapo nyumbani watu wanaweza kula mzigo tena ki-ulainii
Kabisa yaani,kuna unaa tunaukumbatia halafu tunatafuta mchawiHuu Mtazamo hauna Mantiki. Wazazi wakiwajibika wote kwa pamoja Maendeleo Huja Haraka
Ni kanuni mwanaume kupambana zaidi ya mwanamkeNi kweli mwanamke akipata pesa anakuwa na nguvu kuzidi, cha maana hapo ni kuhakikisha unakuwa na kipato zaidi yake, kumzuia kufanya kazi wakati mwenyewe huna kazi ni kutesa watoto, muache afanye kazi wakat wewe unaumiza akili kutengeneza michongo
Asante mwalimuumesahau,,tena kwenye kitanda chake,au kwenye kochi zake😌au bafu lake,au jiko lake.
Asante kushukuruAsante mwalimu