Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Ndio mwanaume ni mpambanaji tangu kutungwa mimba, wewe fikiria tu mimba ya mwanaume inatungwa kwa kuotea siku ya 14, mimba za wanaume zinawasumbua sana wanawake wanakuwaga na tabia za ajabu ajabu hapo utasikia mimba ya mtoto wa kiume hiyo, lazima tupambane haswaNi kanuni mwanaume kupambana zaidi ya mwanamke
Asante kwa maoni yako ni mazuri.Suluhu ni yeye kuonesha jitihada za kupambana,yamkini kuna wanawake wengi wanamna hiyo,lakini mwanaume huwezi kuishi kwa hofu,pia haya mambo ni tabia na ethnicity huchangia na unaa,mwanamke kuna vitu anavihitaji hawezi kumwambia mwanaume kila kitu,kama ndivyo amfungulie biashara inayoeleweka sio kumzuia,siku akipata changamoto ndani kunakuwa kama tanuri la moto lakini mwanamke akiwa na kipato inamsaidia,hawa ni backup
Kwani kafungwa minyororo huyo mwanamke? akitaka si atoke kwenye ndoa akatafute maisha!Roho mbaya tu. Wanaogopa mwanamke akowa na kipato atakuwa na nguvu ya kusimamia haki zake.
Haina shida mradi uwe unatoa mbunye mara 3 kwa weekuchoyo tu,,yani nikae tu nyumbani hakikisha unanilipa walau 300k kwa mwezi,,hapo huduma zingine zote unatoa mwenyewe hadi nguo za ndani unaninunulia🤒🤒
Ndoa ni makubaliano, ikiwa binti ana taaluma yake na amekubali kuolewa bila ya kuwa na makubaliano na muonaji juu ya suala ya kufanya ama kutofanya kazi hilo ni kosa la binti na wazazi wake. Ikiwa utaratibu sahihi unafuatwa hili tatizo linaweza kuwa minimized kwa kiwango kikubwa sana! ... tatizo vijana wengi wanaokotana okotana tu bila ya utaratibu maalum halafu wanaanza kubebeshana malawama.Kuna vijana mimi nawaona wa hovyo sana,utakuta kaoa mke ana Taaluma yake ,yeye maisha yake ni yakubangaiza mwenzangu na mimi kama sio zaidi ya mimi lakini anamzuia mke wake asifanye kazi kwa kuajiriwa na anakuwa mbogo,ukimuangalia mwanamke kachokaaa na Ana taaluma yake Angeweza kupambana akapata ajira mambo yakaenda ila anaishia kukaa nyumbani.
Wazazi wake walimsomesha ili iweje sasa kwa muktadha wa elimu yetu,?
Wapeni uhuru wake zenu kufanya kitu wanajisikia amani maana wanakuwaga msaada sana hawa mara nyingi ukibakiwa na buku mia mbili zako.
Unafanya hivyo kwa faida gani na ili iweje?, kama hutati afanye kazi kwa watu basi mpe biashara inayoeleweka aifanye.
Ni ushamba
Kazi ndogo sana hio,, yaani siku saba mzgo mara tatu tuHaina shida mradi uwe unatoa mbunye mara 3 kwa week
😂😂😂kuweka tu kwenye account itulie tuliiiii
Mwanamke hapa unamanisha anaachishwa kazi au tuwape uhuru wakatafute kazi?Kuna vijana mimi nawaona wa hovyo sana,utakuta kaoa mke ana Taaluma yake ,yeye maisha yake ni yakubangaiza mwenzangu na mimi kama sio zaidi ya mimi lakini anamzuia mke wake asifanye kazi kwa kuajiriwa na anakuwa mbogo,ukimuangalia mwanamke kachokaaa na Ana taaluma yake Angeweza kupambana akapata ajira mambo yakaenda ila anaishia kukaa nyumbani.
Wazazi wake walimsomesha ili iweje sasa kwa muktadha wa elimu yetu,?
Wapeni uhuru wake zenu kufanya kitu wanajisikia amani maana wanakuwaga msaada sana hawa mara nyingi ukibakiwa na buku mia mbili zako.
Unafanya hivyo kwa faida gani na ili iweje?, kama hutati afanye kazi kwa watu basi mpe biashara inayoeleweka aifanye.
Ni ushamba
kuna walio kutwa wanakazi wakaachishwa kazi waachwe warudi kazini,nakuna waliokutwa bado hawana kazi na walikuwa wapo mbioni kupata kazi ila wakazuiliwa kufanya kazi,hawa wote ni wahanga kwa mujibu wa mantiki ya chapisho yanguMwanamke hapa unamanisha anaachishwa kazi au yuwape uhuru wakatafute kazi?
Ni kigezo kama ana misuli ya kiuchumi hivyo Ana mtimizia mahitaji mwanamke bila shida,nje ya hapo anakosa sifa Za kuweka kigezoNdoa ni makubaliano, ikiwa binti ana taaluma yake na amekubali kuolewa bila ya kuwa na makubaliano na muonaji juu ya suala ya kufanya ama kutofanya kazi hilo ni kosa la binti na wazazi wake. Ikiwa utaratibu sahihi unafuatwa hili tatizo linaweza kuwa minimized kwa kiwango kikubwa sana! ... tatizo vijana wengi wanaokotana okotana tu bila ya utaratibu maalum halafu wanaanza kubebeshana malawama.
Pia nakubali kabisa kama kijana umeenda kuoa binti aliyesoma na wewe hutaki afanye kazi basi ulipaswa kuliweka wazi hilo kabla ya kuoa. Ila siamini kama mwanaume aisiyetaka mkewe afanye kazi kuwa huo ni ushamba bali ni kipaumbele chake cha kulingana vigezo vyake vya maslahi mapana ya familia yake.
Kuna wengine hata ukisema utawatimizia mahitaji yao ama utampa reasonable allowance on top ya kumtimizia mahitaji yake lakini bado wanaona wamenyimwa uhuru. Muhimu ni kukubaliana kwanza juu ya vipaumbele vyenu.Ni kigezo kama ana misuli ya kiuchumi hivyo Ana mtimizia mahitaji mwanamke bila shida,nje ya hapo anakosa sifa Za kuweka kigezo
Inaumajeeee - afu jamaa anamkunja anakuwa kama mlemavuumesahau,,tena kwenye kitanda chake,au kwenye kochi zake😌au bafu lake,au jiko lake.
Sio kusimamia haki tu na kugeuka kichwa familia katika maamuzi.Roho mbaya tu. Wanaogopa mwanamke akowa na kipato atakuwa na nguvu ya kusimamia haki zake.