Umeoa mke mwenye miaka 25+? Usitegemee mafanikio

Mapenzi hayapo kwenye vitabu wala hayana kanuni hivyo ukishindana nayo utarukwa na akili, tafuta pesa kijana.
Ushauri mzuri. Japo mapenzi yakikuendea kombo hata hiyo hela huwezi kuitafuta
 
Mwenyezi Mungu ndio anapanga maisha ya kila kiumbe wake, na usisahau ilo....
 
Mmmh... Kuna jamaa alioa mwanamke under 24 sasa ndio yuko 25 ila hapa mtaani kuna mijamaa inajisevia hatari halafu mwanaume ni kama 39++
 
Mwenyezi Mungu ndio anapanga maisha ya kila kiumbe wake, na usisahau ilo....
Lkn mwenyezi mungu ametuasa kutumia maarifa. Ndiyo maana tunaelimishana. Kumbuka andiko hili :"watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
 
Mmmh... Kuna jamaa alioa mwanamke under 24 sasa ndio yuko 25 ila hapa mtaani kuna mijamaa inajisevia hatari halafu mwanaume ni kama 39++
Bahati mbaya yake huyo, ameoa kahaba by nature. Hakufanya vetting vya kutosha
 
Wewe leo unakuwa mwanaume kesho unakuwa mwamke acha hiyo tabia siyo nzuri acha kucheza naakili za watuuu................
.inaonekana we bado mtoto ukikuwa utaacha hiyo Tabia
 
Baadhi ya mikosi na laana za kutofanikiwa kimaisha, huletwa na Michepuko kweli kabisa.
Watu walio wengi hawalitambui hilo, watu huchukua mikosi na kuambatana nayo majumbani bila Wao Kujua.
Hili, nilishuhudia Mrembo mmoja aliyeokoka Church, baadae akasema yy alikuwa anatumiwa na shetani. Yaani Ni mzuri kweli na ukimtongoza alikuwa hawezi kukataa, lakini ukilala naye lazima utapoteza Pesa nyingi au kupata ajali au hata kupata misukosuko kazini au kwenye biashara zako.
Sio kila umuonaye Ni mzuri wa kurukia, wengine Ni Agents wa Shetani waliobeba mambo Mengi sana.
 
Lkn mwenyezi mungu ametuasa kutumia maarifa. Ndiyo maana tunaelimishana. Kumbuka andiko hili :"watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
[emoji57] [emoji57] [emoji57] mungu wewe unamjua ????
 
Umechambua na kunyumbua vizuri mkuu. Asante
 
Huyu anacheza naakili zenuuu...... Huyu sindio alipost anamimba ya msafisha kuchaaa!!!!! Teh

Mods piga banned hii mutuuu
 
Wewe umepitia wangapi,ukadanganya wangapi,umejeruhi wangapi, na umebeba mikosi kiasi gani? Biashara bila mteja haiuzwi bana na ile habari huwa kuna mwanaume na mwanamke,acha kuji console adui wa mafanikio yako ni wewe mwenyewe.
 
Asante mkuu kwa kuongezea nyama uzi wangu. Mwenye masikio na asikie
 
umesema kwel kabsa
 
Dada zako wote wemeolewa wakiwa chini ya miaka 25?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…