Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushauri mzuri. Japo mapenzi yakikuendea kombo hata hiyo hela huwezi kuitafutaMapenzi hayapo kwenye vitabu wala hayana kanuni hivyo ukishindana nayo utarukwa na akili, tafuta pesa kijana.
Hata twaweza wanakosolewa japo wanaendesha shughuli zao kihalali. Anayekosoa ni yule aliyeguswa ktk namna ambayo haitakiDuh hizi tafiti nyingine hazina TBS
Lkn mwenyezi mungu ametuasa kutumia maarifa. Ndiyo maana tunaelimishana. Kumbuka andiko hili :"watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"Mwenyezi Mungu ndio anapanga maisha ya kila kiumbe wake, na usisahau ilo....
Ningekuja haraka nijitwalie mwali[emoji38][emoji38] ndio.
Bahati mbaya yake huyo, ameoa kahaba by nature. Hakufanya vetting vya kutoshaMmmh... Kuna jamaa alioa mwanamke under 24 sasa ndio yuko 25 ila hapa mtaani kuna mijamaa inajisevia hatari halafu mwanaume ni kama 39++
[emoji57] [emoji57] [emoji57] mungu wewe unamjua ????Lkn mwenyezi mungu ametuasa kutumia maarifa. Ndiyo maana tunaelimishana. Kumbuka andiko hili :"watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
Umechambua na kunyumbua vizuri mkuu. AsanteKuoa ni kama karata inategemea umelamba ipi, ulipolamba tu na mchezo ukamalizwa, kama umelamba joka basi umekufanalo na kama ni "A" basi bahati ni ako, in between ni chance nyingine pia, muombe mungu kama unamuamini, na heshimu mipaka yake awez kukurupa, umri unafasi ndogo sana ktk kurely in (this) one factor.
Kwa wanaomuamin mungu hasa waislam wanapo pakupigia mfano kwa mtume wao, alioa mwanamke wa miaka 40 na akaenjoy wkt yy ana 25 yrs na pia alioa binti mbich alietoka kuvunja ungo less than 13 years bt greater than 9 years. Wote walimuheshim na waislam wanarely hapa kama kiigizo chao.. Faida ya kipekee kiumri ni bikra kwa (kwa wengi behaved, japo nowdaus imekua nadra), kukuzalia idadi ya watoto unaowahitaji, kukuhushim labda kwa aibu ya kumzid umri na kupendeza kwili kwa mda mrefu ( other things hold costants).
Asante mkuu kwa kuongezea nyama uzi wangu. Mwenye masikio na asikieBaadhi ya mikosi na laana za kutofanikiwa kimaisha, huletwa na Michepuko kweli kabisa.
Watu walio wengi hawalitambui hilo, watu huchukua mikosi na kuambatana nayo majumbani bila Wao Kujua.
Hili, nilishuhudia Mrembo mmoja aliyeokoka Church, baadae akasema yy alikuwa anatumiwa na shetani. Yaani Ni mzuri kweli na ukimtongoza alikuwa hawezi kukataa, lakini ukilala naye lazima utapoteza Pesa nyingi au kupata ajali au hata kupata misukosuko kazini au kwenye biashara zako.
Sio kila umuonaye Ni mzuri wa kurukia, wengine Ni Agents wa Shetani waliobeba mambo Mengi sana.
Ni nouma!!!Duu hili bandiko!!
umesema kwel kabsaHawa washachukua laana na mikosi toka wanaume tofauti tofauti waliokuwa wapenzi wao huko nyuma. Na wengine wameacha machozi ya machungu kwa wanaume walio wekeza nguvu na rasilimali zao kwa wanawake hao wakijua watawaoa. Lakini mwishowe wakasalitiwa.
Kuna swali linaulizwa na wengi, "kwanini ndoa za miaka ya zamani zilidumu kuliko za sasa? " Jibu: wanawake wa zamani walijitunza na hivyo waliolewa wakiwa mabikra.
Hawa wa siku hizi wanakuwa washaharibiwa kila tundu asilia la mwilini ndiyo wanaolewa. Halafu ndiyo unaoa mwanamke kama huyu, kisha utegemee mafanikio na utangamano katika ndoa? Migogoro na mikosi itakuandama tu.
Mfano mtu ashatembea na mijanaume mikubwa kiumri kuliko babako mzazi tangu akiwa na miaka 15, unategemea k imelegea kiasi gani? Hata ufanyeje utaishia kuonekana una kibamia. Unategemea hisia za kimapenzi ashapoteza kiasi gani? Kiharage kimekomaa mpaka kimeota magamba kama ya pelege. Unategemea ashachukua laana kiasi gani? Nyingine ziliingia kwa kunyonya, nyingine kwa kuruka ukuta na nyingine kuonyesha utupu kwa mtu mzima kuliko babake mzazi.
Wanawake wengi sana zaidi ya 95% ktk umri wa 25+ wanakuwa washapata mimba lakini huzitoa. Halafu anakuja humu na kujinasibu kwa kubana pua "nina miaka 26 sina mtoto". KE wa namna hii inabidi aulizwe ulimpeleka wapi mtoto? Kwenye nafsi yake lazima atakumbuka idadi kubwa ya watoto aliyowatupa chooni.
Ndugu yangu mwanamke wa namna hii utakuwa kila Unalolifanya linadunda maana umeoa nuksi.
USHAURI:
Ukitaka kuoa, oa mwanamke ambaye ni chini ya miaka 25 kiumri. Ana madhambi na laana chache. Na kila mipango utakayoipanga itafanikiwa kwa kuwa hakuna kikwazo ktk ndoa yako.
(JF ni mtambo wa kurekebisha tabia)
Dada zako wote wemeolewa wakiwa chini ya miaka 25?Hawa washachukua laana na mikosi toka wanaume tofauti tofauti waliokuwa wapenzi wao huko nyuma. Na wengine wameacha machozi ya machungu kwa wanaume walio wekeza nguvu na rasilimali zao kwa wanawake hao wakijua watawaoa. Lakini mwishowe wakasalitiwa.