Umeoa mke mwenye miaka 25+? Usitegemee mafanikio

Umeoa mke mwenye miaka 25+? Usitegemee mafanikio

Na hao wadada wanatembea na wanyama kama cyo wanaume
Mkuu, wadada huwa wanatafutwa ktk umri wao mdogo na watu wazima. Ni nadra sana kukuta dada 16 na mvulana 16. Ni nadra sana. Kwa muktadha huo mdada anaharikiwa ktk ulimwengu wa ngono wakati mvulana bado hajajua chochote.
 
Mkuu mimi mpenzi wangu ana miaka 29 wakati me nina 27+ na natarajia kumuoa bila shaka yeyote wala wasisi. We endelea kuwalisha watu matango poli waachane na wachumba wao wanaowapenda then wakavamie viruka ukuta/ njia
Fanya tathmini ya umri ya hao viruka ukuta. Kama wana miaka 18 halafu mchumba wako ana 29 tafsiri yake ni kwamba mchumba wako ameruka na kurushwa ukuta kwa miaka zaidi ya kumi. Hicho ni zaidi y'a kiporo. Na kama ni weledi basi wa kwako ana zaidi ya professionalism. Amekubuhu ndiyo maana ametulia.

Utakuja kukumbuka maneno yangu siku akibeba uja uzito halafu akapewa bed rest ktk mwezi wake wa kwanza tu. Ukiona hivyo na hajawahi kuugua gonjwa serious ujue wajanja walimlegeza kizazi

Lkn sikushauri umuache maana "kipenda roho hula nyama mbichi"
 
umeachwa na mwanamke nini...maana unashambulia tuuu bila logic.......acha tuwaapende age kitu gami....hao wadogo kwani ndio hawawi wa ovyo...sio formula hiyo tuliza kipapa
Kiukweli afande wala usininyooshee kifimbo, hata mm sisemi ni wote. Hapana. Lkn asilimia kubwa wa umri huo wako hivyo.
 
Fanya tathmini ya umri ya hao viruka ukuta. Kama wana miaka 18 halafu mchumba wako ana 29 tafsiri yake ni kwamba mchumba wako ameruka na kurushwa ukuta kwa miaka zaidi ya kumi. Hicho ni zaidi y'a kiporo. Na kama ni weledi basi wa kwako ana zaidi ya professionalism. Amekubuhu ndiyo maana ametulia.

Utakuja kukumbuka maneno yangu siku akibeba uja uzito halafu akapewa bed rest ktk mwezi wake wa kwanza tu. Ukiona hivyo na hajawahi kuugua gonjwa serious ujue wajanja walimlegeza kizazi

Lkn sikushauri umuache maana "kipenda roho hula nyama mbichi"
Sawa mkuu nimekusoma lakini ndo ushaniachanisha hivyo na mpenz wangu maana napangua ratiba ya kumuoa sitaki tena. Acha niangalie under 19.
 
Ndoa za wazazi wetu zilidumu kwa kiasi kikubwa kwa mwanamke ndoa ilikuwa ajira na wazazi wetu wengi mishahara ya enzi za ujamaa hawakuwa na michepuko au pesa ya kwenda bar kila siku.
Sijaona point hapa
 
Kiharage kimekomaa kama gamba LA perege..umewamaliza[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Kama ni mafanikio wanatukuta nayo tayali mkuu,wakija wakiona mambo hayasongi wajue gundu wamekuja nalo wenyewe
 
Sawa mkuu nimekusoma lakini ndo ushaniachanisha hivyo na mpenz wangu maana napangua ratiba ya kumuoa sitaki tena. Acha niangalie under 19.
Acha maneno weka mziki
Wewe ubonyezeee binti wa watu alafu useme unapangua ratiba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Khaaaaaa!!! Mbona ni kama unalaani!! Lugha kali sana aisee. Kama ni.mapenzi hii ingeitwa hardcore sex
 
Back
Top Bottom