dada mwema
JF-Expert Member
- May 16, 2017
- 212
- 158
Mwambie mkuuhasira zako za kuachwa unakuja kutumwagia povu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie mkuuhasira zako za kuachwa unakuja kutumwagia povu
[emoji106]umeachwa na mwanamke nini...maana unashambulia tuuu bila logic.......acha tuwaapende age kitu gami....hao wadogo kwani ndio hawawi wa ovyo...sio formula hiyo tuliza kipapa
Mkuu, wadada huwa wanatafutwa ktk umri wao mdogo na watu wazima. Ni nadra sana kukuta dada 16 na mvulana 16. Ni nadra sana. Kwa muktadha huo mdada anaharikiwa ktk ulimwengu wa ngono wakati mvulana bado hajajua chochote.Na hao wadada wanatembea na wanyama kama cyo wanaume
Fanya tathmini ya umri ya hao viruka ukuta. Kama wana miaka 18 halafu mchumba wako ana 29 tafsiri yake ni kwamba mchumba wako ameruka na kurushwa ukuta kwa miaka zaidi ya kumi. Hicho ni zaidi y'a kiporo. Na kama ni weledi basi wa kwako ana zaidi ya professionalism. Amekubuhu ndiyo maana ametulia.Mkuu mimi mpenzi wangu ana miaka 29 wakati me nina 27+ na natarajia kumuoa bila shaka yeyote wala wasisi. We endelea kuwalisha watu matango poli waachane na wachumba wao wanaowapenda then wakavamie viruka ukuta/ njia
Kiukweli afande wala usininyooshee kifimbo, hata mm sisemi ni wote. Hapana. Lkn asilimia kubwa wa umri huo wako hivyo.umeachwa na mwanamke nini...maana unashambulia tuuu bila logic.......acha tuwaapende age kitu gami....hao wadogo kwani ndio hawawi wa ovyo...sio formula hiyo tuliza kipapa
Hao wadada hutembea na akina baba kwakiwango kikubwa,sisi tunachelewa kupata mafanikio.Na hao wadada wanatembea na wanyama kama cyo wanaume
Na hao wadada wanatembea na wanyama kama cyo wanaume
Sawa mkuu nimekusoma lakini ndo ushaniachanisha hivyo na mpenz wangu maana napangua ratiba ya kumuoa sitaki tena. Acha niangalie under 19.Fanya tathmini ya umri ya hao viruka ukuta. Kama wana miaka 18 halafu mchumba wako ana 29 tafsiri yake ni kwamba mchumba wako ameruka na kurushwa ukuta kwa miaka zaidi ya kumi. Hicho ni zaidi y'a kiporo. Na kama ni weledi basi wa kwako ana zaidi ya professionalism. Amekubuhu ndiyo maana ametulia.
Utakuja kukumbuka maneno yangu siku akibeba uja uzito halafu akapewa bed rest ktk mwezi wake wa kwanza tu. Ukiona hivyo na hajawahi kuugua gonjwa serious ujue wajanja walimlegeza kizazi
Lkn sikushauri umuache maana "kipenda roho hula nyama mbichi"
Sijaona point hapaNdoa za wazazi wetu zilidumu kwa kiasi kikubwa kwa mwanamke ndoa ilikuwa ajira na wazazi wetu wengi mishahara ya enzi za ujamaa hawakuwa na michepuko au pesa ya kwenda bar kila siku.
Kuna ukweli piahasira zako za kuachwa unakuja kutumwagia povu
Acha maneno weka mzikiSawa mkuu nimekusoma lakini ndo ushaniachanisha hivyo na mpenz wangu maana napangua ratiba ya kumuoa sitaki tena. Acha niangalie under 19.
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Acha maneno weka mziki
Wewe ubonyezeee binti wa watu alafu useme unapangua ratiba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mchumba angu ana 27...af sina mpango wa kumuacha..inshort naoa!!