Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa yupi hakujipanga, aliyezalia kwao au yule aliyezalia kwake kwenye chumba kimoja?Mi nimezaliwa kwa bibi ambapo haikuwa chumba kimoja
Aisee!mimi naishi mke na watoto 2 chumba kimoja ila nafanyaga timing ya kubadili nguo na kuhusu kitumbua hayo mambo nimeshasahaugi kabisa
Kuna watu wanaoana hata kitanda hawana sembuse chumba hiki Cha Kona nne ?Don't go back , ikiwa unafikiria kuoa in single room just do it
Make sure you live ur life to the fullest
This life is not immortal so don't complicate anything.
Tusipende ubishi chumba kimoja ni kwaajiri ya mtu au watu wanaotaka kuanza maisha ila sio mtu au watu wanaotaka kuanzisha familiaMaisha sio finyuu kama akili zako, la muhimu ni huduma sio wingi wa vyumba.......
Maisha mkuu sio hivyo every move inabidi iwe calculated just do it zitakupeleka kwenye majuto.. kuoa sio la kukurupuka sio Leo nimepata wazo la kuoa basi haraka nakimbilia kuoa bila kuangalia nipo katika position?Don't go back , ikiwa unafikiria kuoa in single room just do it
Make sure you live ur life to the fullest
This life is not immortal so don't complicate anything.
Watu wanapenda kuchukulia vitu simple sana mazingira mnayoishi Yana impact kubwa sana kwenye mahusianoTusipende ubishi chumba kimoja ni kwaajiri ya mtu au watu wanaotaka kuanza maisha ila sio mtu au watu wanaotaka kuanzisha familia
Kuanzisha familia kuna haja ya kujipanga ktk suala la makazi
Ndoa sio kupigana miti tu lazima mtengeneze maisha ambayo ni standard kwa wote sehemu mtayokuwa na amani kuishi ili mfurahie mahusiano yenuKuna watu wanaoana hata kitanda hawana sembuse chumba hiki Cha Kona nne ?
Kwenye maisha yangu sikuwahi kuishi chumba kimoja na mzazi wangu yoyote nawapongeza kwa hilosasa yupi hakujipanga, aliyezalia kwao au yule aliyezalia kwake kwenye chumba kimoja?
Kupanga sio tatizo kabisa ila kupanga chumba kimoja na kuishi na familia ndio tatizo kama baba wa familia inabidi upambane isitokeeMi nikajenga nikaoa afu nikaishia kupanga maisha hayana fomula
Hupunguzi uzito au ndo mpaka vijana walalemimi naishi mke na watoto 2 chumba kimoja ila nafanyaga timing ya kubadili nguo na kuhusu kitumbua hayo mambo nimeshasahaugi kabisa
Na vijana wanakuvizia wanajifanya wamelala ukilianzisha wanakupiga Chapo unakuta mtoto under 4 ila kanajua kuwa watu wanapandana unajiuliza amejuaje kumbe anaona wazazi wake wakifanya yaoHupunguzi uzito au ndo mpaka vijana walale
Kwa maisha ya Mtanzania wa ile hali/mnyonge(?)siwezi kushangaa akipanga chumba kimoja anapoanza kuishi na mke.Uchumi "umebovuka"!Tukitaka wawe wamejikamilisha tutarajie waoe wakiwa na miaka 49-55.Yaani watafikia u-senior citizen ndiyo wataposa wachumba.Kuna baadhi ya vitu ukikaa ukawaza unaona kabisa ni kama tunaforce kufanya jambo kwa wakati usio sahihi mfano mzuri ni watu kuamua kuanzisha familia kwenye chumba kimoja.
Ni maisha ya aibu fikiria umetembelewa na rafiki, ndugu hata wakwe unawakaribisha wapi? Chumba kimoja umeweka kitanda, vyombo, ndoo za maji, mabegi yenu ya nguo, sofa, jiko kimsingi chumba kimejaa ingekuwa kwa mkapa wanasema full house.
Vipi kuhusu privacy yenu mkibarikiwa kuwa na mtoto hapo mbeleni utabadilisha vipi nguo? Mtashiriki vipi tendo la ndoa?
Conclusion Mwanaume unayeoa kwenye chumba kimoja ni wazi hujajipanga financially umeruhusu kuongozwa na matamanio ya kuoa tu huna plans.
Mkuu,Kuna baadhi ya vitu ukikaa ukawaza unaona kabisa ni kama tunaforce kufanya jambo kwa wakati usio sahihi mfano mzuri ni watu kuamua kuanzisha familia kwenye chumba kimoja.
Ni maisha ya aibu fikiria umetembelewa na rafiki, ndugu hata wakwe unawakaribisha wapi? Chumba kimoja umeweka kitanda, vyombo, ndoo za maji, mabegi yenu ya nguo, sofa, jiko kimsingi chumba kimejaa ingekuwa kwa mkapa wanasema full house.
Vipi kuhusu privacy yenu mkibarikiwa kuwa na mtoto hapo mbeleni utabadilisha vipi nguo? Mtashiriki vipi tendo la ndoa?
Conclusion Mwanaume unayeoa kwenye chumba kimoja ni wazi hujajipanga financially umeruhusu kuongozwa na matamanio ya kuoa tu huna plans.
Maisha mkuu sio hivyo every move inabidi iwe calculated just do it zitakupeleka kwenye majuto.. kuoa sio la kukurupuka sio Leo nimepata wazo la kuoa basi haraka nakimbilia kuoa bila kuangalia nipo katika position?