BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
- Thread starter
- #81
Mimi sinaWewe una nyumba yenye sebule ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sinaWewe una nyumba yenye sebule ngapi?
Sasa mtu akikwambia usiwe na familia kwa sababu huna nyumba yenye kitu fulani utaona sawa?Mimi sina
Hakika nitaona sawa na nitamshukuru sana kwa kunitakia memaSasa mtu akikwambia usiwe na familia kwa sababu huna nyumba yenye kitu fulani utaona sawa?
Vyumba vingi unataka kuanzisha shule auKuna baadhi ya vitu ukikaa ukawaza unaona kabisa ni kama tunaforce kufanya jambo kwa wakati usio sahihi mfano mzuri ni watu kuamua kuanzisha familia kwenye chumba kimoja.
Ni maisha ya aibu fikiria umetembelewa na rafiki, ndugu hata wakwe unawakaribisha wapi? Chumba kimoja umeweka kitanda, vyombo, ndoo za maji, mabegi yenu ya nguo, sofa, jiko kimsingi chumba kimejaa ingekuwa kwa mkapa wanasema full house.
Vipi kuhusu privacy yenu mkibarikiwa kuwa na mtoto hapo mbeleni utabadilisha vipi nguo? Mtashiriki vipi tendo la ndoa?
Conclusion Mwanaume unayeoa kwenye chumba kimoja ni wazi hujajipanga financially umeruhusu kuongozwa na matamanio ya kuoa tu huna plans.
Kikubwa uhai tu.Kuna baadhi ya vitu ukikaa ukawaza unaona kabisa ni kama tunaforce kufanya jambo kwa wakati usio sahihi mfano mzuri ni watu kuamua kuanzisha familia kwenye chumba kimoja.
Ni maisha ya aibu fikiria umetembelewa na rafiki, ndugu hata wakwe unawakaribisha wapi? Chumba kimoja umeweka kitanda, vyombo, ndoo za maji, mabegi yenu ya nguo, sofa, jiko kimsingi chumba kimejaa ingekuwa kwa mkapa wanasema full house.
Vipi kuhusu privacy yenu mkibarikiwa kuwa na mtoto hapo mbeleni utabadilisha vipi nguo? Mtashiriki vipi tendo la ndoa?
Conclusion Mwanaume unayeoa kwenye chumba kimoja ni wazi hujajipanga financially umeruhusu kuongozwa na matamanio ya kuoa tu huna plans.
Huna uhalali wa kuwa na familia wewe.Hakika nitaona sawa na nitamshukuru sana kwa kunitakia mema
confused alreadyNenda tu msingi mkuu ni upendo
Ww unakubali vipi kuishi na mume kwenye chumba kimoja rafiki zako wakija utwakaribishia wapconfused already
sasa si nilijisahau bwanWw unakubali vipi kuishi na mume kwenye chumba kimoja rafiki zako wakija utwakaribishia wap