Umepanga chumba kimoja unaoa ili iweje?

Umepanga chumba kimoja unaoa ili iweje?

Kuna baadhi ya vitu ukikaa ukawaza unaona kabisa ni kama tunaforce kufanya jambo kwa wakati usio sahihi mfano mzuri ni watu kuamua kuanzisha familia kwenye chumba kimoja.

Ni maisha ya aibu fikiria umetembelewa na rafiki, ndugu hata wakwe unawakaribisha wapi? Chumba kimoja umeweka kitanda, vyombo, ndoo za maji, mabegi yenu ya nguo, sofa, jiko kimsingi chumba kimejaa ingekuwa kwa mkapa wanasema full house.

Vipi kuhusu privacy yenu mkibarikiwa kuwa na mtoto hapo mbeleni utabadilisha vipi nguo? Mtashiriki vipi tendo la ndoa?

Conclusion Mwanaume unayeoa kwenye chumba kimoja ni wazi hujajipanga financially umeruhusu kuongozwa na matamanio ya kuoa tu huna plans.
Vyumba vingi unataka kuanzisha shule au
 
Kikubwa uhai tu.

Mtoa mada tuletee familia ambayo ilipoteza watoto kwa sababu tu wazazi walikuwa wanakaa chumba kimoja ?

Hata ukiwa na nyumba kuubwa ya vyumba 6 bado utalaa kwemye chumba kimoja na mkeo
 
Hao wakwe wanakuja kwako kifanya nini na wanajua uko single room.

Ukiwa unaishi chumba kimoja ndgu, jamaa na marafiki watakuweka kundi la asienacho, wala usitegemee ugeni wowote wa kukupa presha ndgu yangu, hamna ndgu anamtembelea pangu pakavu.
 
Mtoa mada upo sahihi sema genye hazinaga mipango hasa kwa wastaarabu wasiopenda uzinzi na kubaruza pasipo ndoa
 
Inategemea na watu na jinsi mnavobarikiwa.

Lkn, kama mwanaume hauwezi jisikua fresh kuanzisha familia kwenye single room. Inatokea kwa sababu maisha yamekataa na inabidi kila mtu afunge mkanda.

Binafsi, napambana, na hii kazima ifanikiwe, by the tyme naanza kuishi na soulmate wangu niwe atleast kwa chumba na sebule na by the time Mtoto wa kwanza anaaza kwenda shule, niwe kwa full house au niko kwangu.

Otherwise. Ubachelor hauui.
 
Kuna kuoa Halafu kuna kuishi na mwanamke..!!

Sijui unazungumzua wepi, Mana huko kote ni kuoa sikuhizi?
 
Back
Top Bottom