Umepata somo gani la maisha 2022?

One of the hardest things I've had to learn and accept in 2022 is that opportunities do not always land to the most qualified people.

Often, they land to the people who are well connected with the right networks.
 
Mimi: Kila kitu kizuri kinataka muda, muda inahitaji sacrifice ya vitu vingi vizuri.
Nilichojifunza nikumtegemea mungu na si mwanadamu....pia kufurai maisha na familia yako na watoto wako hata kama huna kitu life Is to short.
Pia maisha yanataka uvumilivu kila kitu huja kwa kujituma na mungu ndio huamua muda gan kukupa.
 
Nyani mzee hapa 30+ years, nimejifunza kukata ndugu na marafiki wa karibu sana wa hovyo hovyo, pia nilijifunza kuacha kutoa hela aisee...hela yangu itoke inabidi Roho Mtakatifu aniongoze kisha nijioNGEZE
 
Nakubali,,,, ila hyo namba 7, kukaa na matatzo moyoni unaweza kufa kimya kimya,,,, u may die aloooooneee!
 
Nakubali,,,, ila hyo namba 7, kukaa na matatzo moyoni unaweza kufa kimya kimya,,,, u may die aloooooneee!
Hapana, hapo namaanisha uongee na mtu wako wa karibu kama mke, mama, kaka, dada au rafki wa karibu mlieshibana (chagua mmoja wa kumuelezea mshauliane) ila sio una matatizo huna pesa umefulia na unefukuzwa kazi basi unataka kila mtu ajue, you will regret my friend. Au unaumwa na huna pesa ya matibabu au mkeo anaumwa au wazazi na huna pesa, watu unaeenda kuwakopa pesa kwa.muda sio lazima uwaambie tatizo unaloenda kusolve (shida yako) unaweza sema tu nina dharula nimebanwa niazime, kama anania atakupa, kama hana nia atakunyima na kama umemuelezea ataishia kuyasambaza kua flani anaumwa na hana pesa, amefulia, alikua anajidai, au ni mjinga hatunzi pesa, na maneno mengine ya kejeli ambayo ndio yatafanya UFE kwa stress hahaha.
 
Hakuna mwanamke mwenye mapenzi ya dhati
Yaani hata akulilie vipi wakati unamkaza usidhani kwamba ndiyo anakupenda.
Wanawake wapo kwa maslahi yao binafsi na siyo upendo wa kweli.
Hata umsaidie vipi mwanamke bado hawezi kuwa na shukrani kwako na atatamani wanaume wengine wamsweke mkuyenge bila kumpa chochote.
Ndicho nilichogain mwaka 2022.
Haya sasa karibuni mnishambulie
 
Vielen dank Bruder!
 
Kitu kizito kilipigwa kichwani mwako
Pole mkuu
 
Usikubali wakakukuta kama walivyokuacha .

Usiwaambie watu mipango yako, fanya kimya kimya itekelezeke.

Kamwe hakuna mtu ambae atakuja kukusaidia kuishi maisha yako, wajibika.

Kuweka akiba na kujiimarisha kiuchumi.

Yanga bingwa
Umeandika vizuri ila hapo mwisho ndiyo umeharibu. Naona meshabikia mkiwa uchi baada ya fei toto kurudi Yanga. Hongereni sana
Mpe salamu na mama J
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…