Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Sikiliza huu wimbo huu wa Mbaraka Mwinshehe, ambao ni ujumbe murua kwa Putin katika hili suala la vita na Ukraine
Hiloo oooh,
Ulijidai wewe mbabe sana aah,
Leo umepigwa na kijana mdogo
Aibu imekupata
Kiko wapi sasa
Ulichokuwa ukijidai nacho ooh,
Je ungepambana na mimi kaka (NATO?)
Kilema ungekipata....
Ngebe na majivuno yako yamekwisha sasa, heshima iko wapi?
Hili ni fundisho kwa bullies wote, kwamba msidharau wembamba wa reli. Kuna watu mlimshabikia saa Putin humu JF, kuwa atatoa fundisho nk, kiko wapi sasa? Angepigana na NATO ingekuwaje, ikiwa Ukraine tu inampa shida namna hii?
Mliona wapi jogoo la shamba likawika mjini?