Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
NATO silaha zote anamalizia ukraine,, ujerumani kabaki na vifaru 50 tu,, itachukua miaka mingi sana NATO ku replenish stock yao ya silaha,, wanachoomba sasa kusitokee vita tena mfano ya north korea na south korea, au china na Taiwan, jambo ambalo litawalazimu waingilie na hatakuwa na silaha za kutosha na hivyo usalama wao kama nchi utakuwa exposed ,NATO wakipigana na Putin vita itakwisha baada ya wiki mbili, Putin kwisha habari yake.
Mbabe gani anategemea silaha kutoka Iran?
Nchi pekee hapa duniani yenye capacity ya kufanya mass production kubwa ya silaha ni china, iwe manowari, jetfighter, vifaru, rada, etc.
Warusi wameamua kufanya war of attrition,, bleeding NATO to the maximum,, end product ni a weakened West,jambo litakalopelekea the rise of chinese as a new superpower,,
So wakati west wameelekeza attention zote kupambana na Russia,, wao wachina wanaji position vizuri kiuchumi na kijeshi,, by the time west wanashituka imeshakua too late,, so Russia waneamua kwenda na beat hata kwa miaka 10,then watakaa chini na china , kufanya mahesabu, ili wajue nani ni nani katika dunia hii,,
By the way,, hii vita ni either Russia ashinde au ukraine ipotee,, no other option🤷🏽♂️