Umepigwa na kijana mdogo aibu imekupata - Mbaraka Mwinshehe, kama anamwimbia Putin!

Umepigwa na kijana mdogo aibu imekupata - Mbaraka Mwinshehe, kama anamwimbia Putin!

Kuna Mtu alinijaza eti huu wimbo ni dongo kwa JUMA KILAZA wa pale Morogoro mtaa wa FIRE wkt huo Mbaraka anakaa Nunge!
Ila kwa upande mwengine hii stori ilitokea kweli pale Morogoro kwenye hiyo miaka ya Sabini.
 
Biden told why Ukraine will not receive all the requested weapons

Zelensky went to the US to beg for money and the latest weapons. However, Biden turned him down, writes Bloomberg.

“The idea that we will give Ukraine material resources that are fundamentally different from what is already going there will have the prospect of splitting NATO, splitting the European Union and the rest of the world,” Biden said at a press conference at the White House.

Washington will supply only the weapons that Kyiv needs for its defense, but long-range tactical missile systems, for example, are out of the question. “We're going to give Ukraine what it needs so it can defend itself so it can excel and succeed on the battlefield,” Biden said before turning to Zelensky and joking, “His answer is yes.”
Mkuu Elungata hii ni kweli. NATO hawataki Ukraine wapige ndani ya Urusi, na wanajua wakiwapa hizo silaha za masafa marefu nao wataanza kupiga ndani ya Urusi. Ndio maana hadi leo Mrusi akilipuliwa ndani Ukraine hawasemi ni wao kwa kuwa wamekatazwa.

Kuna wakati walitaka kumuua General wa Urusi Marekani wakasema msifanye hivyo.
 
Okay, western media inasema Urusi wamerudishwa nyuma na wameachia maeneo baada ya kipigo. Vyombo vya Urusi vinasemaje, karibu Urusi wanateka Kiev?

Anyway, mie niko zaidi Aljazira. Au nao ni westerm mededia?
Sasa Aljazira ndo source yako, hao hawapatan na warusi !!.

Habari zao zote ni ,kumponda mrusi
 
Kama vipi mataifa yenye nguvu za kijeshi yaache kuipa silaha na fedha ukraine. Zelensk atakimbia nchi, hana uwezo wa kupambana na urusi.
Vita ni pamoja na uwezo wa kiongozi wa nchi ku-organize misaada ya kijeshi. Hata Uingereza bila Marekani angepigwa na Hitler. Sasa huwezi kumlaumu Mwingereza eti hakuwa fair kwenye WW2 kwa sababu alisaidiwa na USA, wewe una theory za namna gani? Unataka usawa kwenye vita mura?

Hata sisi tulipompiga Idd Amin tulisaidiwa silaha. Kwa hiyo ulitaka tusisaidiwe ili vita na Uganda iwe fair?

Msumbiji tuliwasaidia silaha na askari Wareno wakaona hawawezi kuendelea kuhimili.

Vita ni vita mura kama huwezi usivamie jirani zako, kama huwezi kura ukarare, sio unapigwa unararamika!
 
Putin hapigani na zelensk pekee, anapigana na mataifa mengi ndani ya ukraine. Isingekuwa mataifa hayo yenye nguvu za kijeshi ukraine ingeshatekwa siku nyingi isingefika miezi kumi tangu vita kuanza
Hivi Ukrain anavyopewa vifurushi vya misaada na baadhi ya mataifa ya magaribi ndio kumaanisha Urusi anapigana na NATO?! Pro Putins' ideology msitafute mgongo wa kupumulia, anayewanyoosha ni Zelensky na jeshi lake tiifu.
 
Putin hapigani na zelensk pekee, anapigana na mataifa mengi ndani ya ukraine. Isingekuwa mataifa hayo yenye nguvu za kijeshi ukraine ingeshatekwa siku nyingi isingefika miezi kumi tangu vita kuanza
Tuko tayari kutaja nchi zinazoisaidia Ukraine, ila hatuko tayari kutaja nchi zinazoisaidia Urusi. Kwanza hata vita vyenyewe alishambulia kutokea Belarus.
 
NATO silaha zote anamalizia ukraine,, ujerumani kabaki na vifaru 50 tu,, itachukua miaka mingi sana NATO ku replenish stock yao ya silaha,, wanachoomba sasa kusitokee vita tena mfano ya north korea na south korea, au china na Taiwan, jambo ambalo litawalazimu waingilie na hatakuwa na silaha za kutosha na hivyo usalama wao kama nchi utakuwa exposed ,
Nchi pekee hapa duniani yenye capacity ya kufanya mass production kubwa ya silaha ni china, iwe manowari, jetfighter, vifaru, rada, etc.
Warusi wameamua kufanya war of attrition,, bleeding NATO to the maximum,, end product ni a weakened West,jambo litakalopelekea the rise of chinese as a new superpower,,
So wakati west wameelekeza attention zote kupambana na Russia,, wao wachina wanaji position vizuri kiuchumi na kijeshi,, by the time west wanashituka imeshakua too late,, so Russia waneamua kwenda na beat hata kwa miaka 10,then watakaa chini na china , kufanya mahesabu, ili wajue nani ni nani katika dunia hii,,
By the way,, hii vita ni either Russia ashinde au ukraine ipotee,, no other option[emoji2375]
Wewe na akili zako unaamini Ujerumani imebakia na vifaru 50?
 
Weee, Biden anawaambia Ukraine tuna silaha za kuwawezesha kusambaratisha hadi jengo la Kremlin, lakini tukiwapa hizo silaha mkampiga Mrusi kiasi hicho, Putin anaweza kuingia wazimu akafyatua silaha za nuclear kwa sababu ataona he has nothing to lose.

Kwa hiyo bwana, Ukraine bado haijapewa zile ngoma nzito kwa kuhofia tapatapa za mfa maji Putin asije akatuharibia dunia
Labda sio marekani hii tuijuayo, marekani ya kihiroshima.
 
Na kama isingekuwa ATO kumkataza, Urusi sasa hivi angekuwa anapata kichapo ndani ya Urusi. Ni kwa vile tu NATO wanamwambia Ukraine ukianza kumchapa ndani ya Urusi tutasimamisha misaada ya silaha.

Hapo ndipo Ukraine angalijua Russia ni nani na uwezo wake wa silaha zake za siri ukoje, Ukraine ingangamizwa pakubwa, NATO wanalijua hilo, hofu ya NATO ni kwamba vita ya dunia ingeanzia hapo.--- Mrusi hadi sasa hataki kutumia silaha zake tegemezi.
 
Kwa hiyo huyo "Bwana mdogo Ukraine" kashinda ama???

Hakuna hajashinda, bado anatandikwa huku anapiga yowe kama fisi aliyeng'atwa na Simba, anazidi kuomba msaada wa fedha na silaha kutoka US--- ni mashabiki ndio wanaompigia debe la ushindi.🤣🤣
 
NATO silaha zote anamalizia ukraine,, ujerumani kabaki na vifaru 50 tu,, itachukua miaka mingi sana NATO ku replenish stock yao ya silaha,, wanachoomba sasa kusitokee vita tena mfano ya north korea na south korea, au china na Taiwan, jambo ambalo litawalazimu waingilie na hatakuwa na silaha za kutosha na hivyo usalama wao kama nchi utakuwa exposed ,
Nchi pekee hapa duniani yenye capacity ya kufanya mass production kubwa ya silaha ni china, iwe manowari, jetfighter, vifaru, rada, etc.
Warusi wameamua kufanya war of attrition,, bleeding NATO to the maximum,, end product ni a weakened West,jambo litakalopelekea the rise of chinese as a new superpower,,
So wakati west wameelekeza attention zote kupambana na Russia,, wao wachina wanaji position vizuri kiuchumi na kijeshi,, by the time west wanashituka imeshakua too late,, so Russia waneamua kwenda na beat hata kwa miaka 10,then watakaa chini na china , kufanya mahesabu, ili wajue nani ni nani katika dunia hii,,
By the way,, hii vita ni either Russia ashinde au ukraine ipotee,, no other option[emoji2375]

Ujerumani anabakije na vifaru 50 wakati hajapeleka kifaru hata kimoja Ukraine?!

Huko Ukraine hakuna silaha ya maana iliyopelekwa,hata ATACMS hazijaenda,long range missiles hawajapeleka,sasa kaangalie long range missiles ambazo NATO wanazo!!!
 
Poland naye vifaru vyake Vingi vimepotezwa huko Ukraine juzi wameagiza vifaru huko Korea kusini ujerumani ndo hali mbaya kabisa na uwezo wa kufanya mass production ya silaha hana
 
Poland naye vifaru vyake Vingi vimepotezwa huko Ukraine juzi wameagiza vifaru huko Korea kusini ujerumani ndo hali mbaya kabisa na uwezo wa kufanya mass production ya silaha hana
Poland alitoa vifaru vyake vya zamani aina ya T-72 sababu alikua kashaangiza vifaru vipya 200 vya Abraham toka Marekani pia wameorder toka South Korea vifaru 1000 vipya.
 
Back
Top Bottom