Atacms
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,884
- 8,924
Put in alisema yeyote atakae shiriki kumsaidia ukraine atakutana na motoKama vipi mataifa yenye nguvu za kijeshi yaache kuipa silaha na fedha ukraine. Zelensk atakimbia nchi, hana uwezo wa kupambana na urusi.
leo hii mnakili kua ukraine anapata support ya west mbona fashist ame shindwa kutekeleza alichosema kwa hao jamaa
Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app