Umepigwa na kijana mdogo aibu imekupata - Mbaraka Mwinshehe, kama anamwimbia Putin!

Umepigwa na kijana mdogo aibu imekupata - Mbaraka Mwinshehe, kama anamwimbia Putin!

Biden told why Ukraine will not receive all the requested weapons

Zelensky went to the US to beg for money and the latest weapons. However, Biden turned him down, writes Bloomberg.

“The idea that we will give Ukraine material resources that are fundamentally different from what is already going there will have the prospect of splitting NATO, splitting the European Union and the rest of the world,” Biden said at a press conference at the White House.

Washington will supply only the weapons that Kyiv needs for its defense, but long-range tactical missile systems, for example, are out of the question. “We're going to give Ukraine what it needs so it can defend itself so it can excel and succeed on the battlefield,” Biden said before turning to Zelensky and joking, “His answer is yes.”
Kwa andiko hili ni wazi urusi anapigana na Ukraine pekee

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Poland alitoa vifaru vyake vya zamani aina ya T-72 sababu alikua kashaangiza vifaru vipya 200 vya Abraham toka Marekani pia wameorder toka South Korea vifaru 1000 vipya.
Wameishiwa silaha nyingi sana sababu ya Ukraine ha ha ha ha ndo wakaanza uwagizaji
 
Jasusi mzoefu Putin katolewa wenge na Comedian..[emoji23][emoji23]
Kabaki kulalamika kama mtoto wa kambo [emoji2]
JamiiForums1292799085.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Poland naye vifaru vyake Vingi vimepotezwa huko Ukraine juzi wameagiza vifaru huko Korea kusini ujerumani ndo hali mbaya kabisa na uwezo wa kufanya mass production ya silaha hana
Silaha ilizopewa Ukraine nyingi ni zile za enzi za Vita baridi wanazozimudu.

ukiacha Himars, Patriot,Nasams na silaha nyingine mpya za kawaida tu, hakuna mzigo wa maana wa NATO uliotumwa huko.
 
Sikiliza huu wimbo huu wa Mbaraka Mwinshehe, ambao ni ujumbe murua kwa Putin katika hili suala la vita na Ukraine

Hiloo oooh,
Ulijidai wewe mbabe sana aah,
Leo umepigwa na kijana mdogo
Aibu imekupata

Kiko wapi sasa
Ulichokuwa ukijidai nacho ooh,
Je ungepambana na mimi kaka (NATO?)
Kilema ungekipata....

Ngebe na majivuno yako yamekwisha sasa, heshima iko wapi?

Hili ni fundisho kwa bullies wote, kwamba msidharau wembamba wa reli. Kuna watu mlimshabikia saa Putin humu JF, kuwa atatoa fundisho nk, kiko wapi sasa? Angepigana na NATO ingekuwaje, ikiwa Ukraine tu inampa shida namna hii?

Mliona wapi jogoo la shamba likawika mjini?
Ni kichaa Tu anayeweza kusema Russia ameshindwa Vita huku bado kashikilia karibu asilimia 20 ya Ukraine huku Ukraine akisaidiwa na NATO kwa kupewa kila Aina ya msaada mpaka wataalamu.pia kaharibu miundombinu ya umeme NK.narudia kusema ni kichaa Tu anayeweza kusema Russia kashindwa vita.
 
Ni mjinga pekee anayeamin ,Urusi inapigana na Ukraine.

Nadhan umenielewa !!

NATO nzima inapigana na Urusi, nahapo walipo Wameshatumia potentials zao zote za kijeshi !!
Hujielewi na hauna uwezo kwenye mambo ya siasa za Dunia... Kakojoe kalale... Mataifa ya Magharibi hayajatumia hata tone la silaha zao na ukitaka kuamini jiulize why no fly zone hawaja switch on?
Pili jiulize why Putin alipo taka tumia nuclear mataifa ya Magharibi kusimama nakusema ikiwa atatumia nuke itakuwa niwaraka wa kifo kwa Taifa lake.. ask ur self what is secret
 
PUTIN walishamlegeza kwenye manyoro na mamikundu na mapumbune wakija NATO ni kumalizia tuu .
Putin amelegezwa au wewe Kwa sababu bado Putin kafanikiwa kuchukua maeneo ya Ukraine na anaendelea kusonga mbele huku Ukraine akipewa kila Aina na msaada.
 
Hujielewi na hauna uwezo kwenye mambo ya siasa za Dunia... Kakojoe kalale... Mataifa ya Magharibi hayajatumia hata tone la silaha zao na ukitaka kuamini jiulize why no fly zone hawaja switch on?
Pili jiulize why Putin alipo taka tumia nuclear mataifa ya Magharibi kusimama nakusema ikiwa atatumia nuke itakuwa niwaraka wa kifo kwa Taifa lake.. ask ur self what is secret
Unajitoa akili ? Ukraine silaha wanazipata wapi na zile hela wanazozichanga zinapelekwa wapi alafu Kila siku NATO wanapeleka silaha.
 
ila warussi nyoko walitandaza limsafara la kilometre 64 kuelekea kyiv kumzika zelensky kilicho tokea mpaka leo warus wa buza kwa mparange wakiongozwa na bwana Sikirimimimasikini hawaamini uliyeyushwaje
majamaa yali tumia mbinu za mwaka 1947 kupambana kienyeji kilicho wakuta leo hii jamaa wame kimbilia mikoa ya mipakani uko kukiwasha

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
 
Sikiliza huu wimbo huu wa Mbaraka Mwinshehe, ambao ni ujumbe murua kwa Putin katika hili suala la vita na Ukraine

Hiloo oooh,
Ulijidai wewe mbabe sana aah,
Leo umepigwa na kijana mdogo
Aibu imekupata

Kiko wapi sasa
Ulichokuwa ukijidai nacho ooh,
Je ungepambana na mimi kaka (NATO?)
Kilema ungekipata....

Ngebe na majivuno yako yamekwisha sasa, heshima iko wapi?

Hili ni fundisho kwa bullies wote, kwamba msidharau wembamba wa reli. Kuna watu mlimshabikia saa Putin humu JF, kuwa atatoa fundisho nk, kiko wapi sasa? Angepigana na NATO ingekuwaje, ikiwa Ukraine tu inampa shida namna hii?

Mliona wapi jogoo la shamba likawika mjini?

Du! Waswahili kupenda kujiingiza kwenye mambo ya watu! Je ni wimbo gani wa kirusi unaoongelea Tannzania hata Afrika?
 
Back
Top Bottom