Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Hili nalo mkalitizame"Sikiliza huu wimbo huu wa Mbaraka Mwinshehe, ambao ni ujumbe murua kwa Putin katika hili suala la vita na Ukraine
Hiloo oooh,
Ulijidai wewe mbabe sana aah,
Leo umepigwa na kijana mdogo
Aibu imekupata
Kiko wapi sasa
Ulichokuwa ukijidai nacho ooh,
Je ugepambana na mimi kaka (NATO?)
Kilema ungekipata....
Ngebe na majivuno yako yamekwisha sasa, heshima iko wapi?
Hili ni fundisho kwa bullies wote, kwamba msidharau wembamba wa reli. Kuna watu mlimshabikia saa Putin humu JF, kuwa atatoa fundisho nk, kiko wapi sasa? Angepigana na NATO ingekuwaje, ikiwa Ukraine tu inampa shida namna hii?
Mliona wapi jogoo la shamba likawika mjini?
Putin anapigana na dunia nzima ndio maana hata mwanajeshi wa Tanzania alikuwemo kwenye ndege ya Ukraine iliyotunguliwaSikiliza huu wimbo huu wa Mbaraka Mwinshehe, ambao ni ujumbe murua kwa Putin katika hili suala la vita na Ukraine
Hiloo oooh,
Ulijidai wewe mbabe sana aah,
Leo umepigwa na kijana mdogo
Aibu imekupata
Kiko wapi sasa
Ulichokuwa ukijidai nacho ooh,
Je ugepambana na mimi kaka (NATO?)
Kilema ungekipata....
Ngebe na majivuno yako yamekwisha sasa, heshima iko wapi?
Hili ni fundisho kwa bullies wote, kwamba msidharau wembamba wa reli. Kuna watu mlimshabikia saa Putin humu JF, kuwa atatoa fundisho nk, kiko wapi sasa? Angepigana na NATO ingekuwaje, ikiwa Ukraine tu inampa shida namna hii?
Mliona wapi jogoo la shamba likawika mjini?
Putin anapiganaa na Ukraine bwana, kipigo anakipata. Kwani dunia nzima ndio imefanya Putin asiwe na hata viatu vya wanajeshi wake?Putin anapigana na dunia nzima ndio maana hata mwanajeshi wa Tanzania alikuwemo kwenye ndege ya Ukraine iliyotunguliwa
NATO wakipigana na Putin vita itakwisha baada ya wiki mbili, Putin kwisha habari yake.Ni mjinga pekee anayeamin ,Urusi inapigana na Ukraine.
Nadhan umenielewa !!
NATO nzima inapigana na Urusi, nahapo walipo Wameshatumia potentials zao zote za kijeshi !!
Weee, Biden anawaambia Ukraine tuna silaha za kuwawezesha kusambaratisha hadi jengo la Kremlin, lakini tukiwapa hizo silaha mkampiga Mrusi kiasi hicho, Putin anaweza kuingia wazimu akafyatua silaha za nuclear kwa sababu ataona he has nothing to lose.NATO nzima inapigana na Urusi, nahapo walipo Wameshatumia potentials zao zote za kijeshi !!
😂 😂 😂Sikiliza huu wimbo huu wa Mbaraka Mwinshehe, ambao ni ujumbe murua kwa Putin katika hili suala la vita na Ukraine
Hiloo oooh,
Ulijidai wewe mbabe sana aah,
Leo umepigwa na kijana mdogo
Aibu imekupata
Kiko wapi sasa
Ulichokuwa ukijidai nacho ooh,
Je ugepambana na mimi kaka (NATO?)
Kilema ungekipata....
Ngebe na majivuno yako yamekwisha sasa, heshima iko wapi?
Hili ni fundisho kwa bullies wote, kwamba msidharau wembamba wa reli. Kuna watu mlimshabikia saa Putin humu JF, kuwa atatoa fundisho nk, kiko wapi sasa? Angepigana na NATO ingekuwaje, ikiwa Ukraine tu inampa shida namna hii?
Mliona wapi jogoo la shamba likawika mjini?
Ila kwa upande mwengine hii stori ilitokea kweli pale Morogoro kwenye hiyo miaka ya Sabini.Sikiliza huu wimbo huu wa Mbaraka Mwinshehe, ambao ni ujumbe murua kwa Putin katika hili suala la vita na Ukraine
Hiloo oooh,
Ulijidai wewe mbabe sana aah,
Leo umepigwa na kijana mdogo
Aibu imekupata
Hivyo ni visingizio tu. Kwani ukianzisha vita unamwambia adui yako asipigane na silaha za wengine? Wewe umelianzisha limalize, Ukraine anachopewa ni silaha ambazo zinaelekea kulingana na za UrusiPutin hapigani na zelensk pekee, anapigana na mataifa mengi ndani ya ukraine. Isingekuwa mataifa hayo yenye nguvu za kijeshi ukraine ingeshatekwa siku nyingi isingefika miezi kumi tangu vita kuanza
Hahaha!Ila kwa upande mwengine hii stori ilitokea kweli pale Morogoro kwenye hiyo miaka ya Sabini.
Apigwe tu!Comedian anamjambisha jambisha mtu serious Putin.
Unamaanisha na SamiaHahaha!
Da, hadi Mbaraka akaitungia wimbo, naona huyo jamaa alikuwa mwamba sana basi. Halafu Mbaraka anasema ugepigana na mimi kilema ugekipata! Yaani huyu Mbaraka kwa hivi vijembe alipaswa waoane na mama kama asingekufa 😀
Kama vipi IRAN aache kuipa silaha urusi vita inaisha leoKama vipi mataifa yenye nguvu za kijeshi yaache kuipa silaha na fedha ukraine. Zelensk atakimbia nchi, hana uwezo wa kupambana na urusi.