DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Ahsante Sana Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Things are unpredictable sametimes even hope means nothing remember that!!Things are not easy better give him hope
Asee! Sio poa.Nilikosa kibarua nkawa sina hata geto naishi porini, baadae kwa ugumu sana nkaja kupata kichumba yaan kijistoo cealing board hakuna upande wa pili choo. Watu wana sifa akiwa anakunya unamsikia anahema na kujamba kana kwamba amekula mbigili, alafu harufu kali kichizi. Nilkua nakereka sana. Alhamdulillah nilivuka.
aisee umeongea kitu cha maana sanaThings are unpredictable sametimes even hope means nothing remember that!!
Kubali hali yako na utafute namna ya kuchomoka.Pia changamoto nyingine kwa sasa nina 27 years ninaona nmechelewa wenzangu wana kazi nzuri wana magari wanapost wanaenda sehem nzuri wanavaa nguo nzuri mi narudia rudia tu nguo
Things are unpredictable sametimes even hope means nothing remember that!!
Chuo umesomea nini?Nashukuru sana jamani lakini mambo ni magumu sana
Human resourceChuo umesomea nini?
Comment ina Mungu na hapohapo ina mizagamuo, aisee Mungu anatupenda sana.Kuhusu ajira ilikuwa kipengele kidogo , nilisota kiaina mtaani, andika sana barua cha kushangaza nilikuwa hata sijibiwi japo kimaisha sikusota sana sababu nilikuwa nina sapoti ya ndugu hivyo ilisaidia kubalance stress
Niliomba sana Mungu naye akanibariki na Internship, baada ya muda akanifungulia njia zaidi nikapata ajira na kuanza kula mshahara huku life linasonga, sijajipata kivile ila nashukuru nilipo ni kwema na-pay bills na kusaidia wengine.
Kuhusu mapenzi nilisota kiaina, ilinibidi nirudi kwenye makoloni yangu ya chuo hata baada ya kumaliza maana mtaani vilikuwa vipengele vingi😁 bora wale niliowaacha school walionijua jobless hivyo kiaina walini-bless bila vizinga vya kijinga
Mengineyo, wakati wa Mungu ndio wakati sahihi ukimtumainia atakupigania, cha msingi weka nia na bidii bila kuhofia.
Jikaze mkuu 2020 juzi tu hapo wapo walikaa kitaa mpaka huruma leo wametoboa,vumilia kipindi cha mpito kipo maishani..2020
Ukisoma vizuri utaona kuwa kipindi kinachozungumziwa ni baada ya chuo na nimeweka wazi muda huo,Comment ina Mungu na hapohapo ina mizagamuo, aisee Mungu anatupenda sana.
Tunamuomba Mungu ili tuwe na uwezo wa kunjunja pisi kali?? Kumtumikia yeye zaidi? Kusaidia wengine au ni nini??
Maana mtu unamuomba Mungu halafu hapohapo unachomekea mizagamuo alooo.
Unajitetea kwangu?? Jitetee kwa Mungu wako.Ukisoma vizuri utaona kuwa kipindi kinachozungumziwa ni baada ya chuo na nimeweka wazi muda huo,
na ndio maana nikanukuu kabisa " walinijua jobless" nikimaanisha kipindi ambacho nimetoka chuo na sielewi nafanyaje ila baada ya kuskuti nikamuomba Mungu naye akanibariki kwa kunipa riziki, maisha baada ya kupata mchongo sijayafafanua
Sasa ukianza kunilisha maneno nashangaa, unatoa wapi ujasiri huo
😃😃😃😃Utamalza tu mkuu.wakoje??sijamaliza bado, ila nikiangalia wanangu waliomaliza natamani nisimalize😂