Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Komaa mkuu umalizie na Mungu akusaidie baada ya kumaliza iyo MBA akupe chimbo la asali.Acha tu nimeanza masters yangu MBA since 2021 changamoto za ada,ujana na majukumu ya watoto wawili mpaka sasa sijamaliza,ada Sasa semester ya mwisho ndo imekuwa ngumu mikopo nadaiwa kuanzia garage mpaka dukani mpaka najuta kusoma MBA....ooh God please hii MBA ije inilipe maana inanitesa sana familia inakula wali kama wanafunzi waa boarding
Hata ww unaweza kuelezea changamoto ulizopitia kipind unajitafuta.Huu uzi ni kwa wavyuoni tu. Sie wa la 7B tutasoma comments tu
Ahsante Mkuu naamini itakuwa hivyo,Mungu na awe mwema kwako pia!Komaa mkuu umalizie na Mungu akusaidie baada ya kumaliza iyo MBA akupe chimbo la asali.
Hata nakumbuka basi. Nilijikuta tu majukumu yameanza maishani na siku zikasonga mpaka leo tunahaha na dunia.Hata ww unaweza kuelezea changamoto ulizopitia kipind unajitafuta.
Unadaiwa sh ngapi? Na mtu akitaka kukusaidia akutumie kwenye namba gani? Maana unakuta kuna mtu anatamani akusaidieAcha tu nimeanza masters yangu MBA since 2021 changamoto za ada,ujana na majukumu ya watoto wawili mpaka sasa sijamaliza,ada Sasa semester ya mwisho ndo imekuwa ngumu mikopo nadaiwa kuanzia garage mpaka dukani mpaka najuta kusoma MBA....ooh God please hii MBA ije inilipe maana inanitesa sana familia inakula wali kama wanafunzi waa boarding
Kua serious budaaaPia changamoto nyingine kwa sasa nina 27 years ninaona nmechelewa wenzangu wana kazi nzuri wana magari wanapost wanaenda sehem nzuri wanavaa nguo nzuri mi narudia rudia tu nguo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nilikosa kibarua nkawa sina hata geto naishi porini, baadae kwa ugumu sana nkaja kupata kichumba yaan kijistoo cealing board hakuna upande wa pili choo. Watu wana sifa akiwa anakunya unamsikia anahema na kujamba kana kwamba amekula mbigili, alafu harufu kali kichizi. Nilkua nakereka sana. Alhamdulillah nilivuka.
Nina mashaka na afya yako ya akiliUnajitetea kwangu?? Jitetee kwa Mungu wako.
Mimi sijaongelea maisha ya wapi na wapi nimeinyumbua comment yako hapo kwamba mabebez walikua wanakubless mbususu na wakati huohuo ulikua ukiomba mibaraka kwa muumba na muumba akakupa utakacho japo umesema sicho ulichotaka ila si haba
Katika maisha hakikisha haujilinganishi na mtu mwingine utaumia sana, bali jilinganishe wewe mwenyewe. Hakikisha wewe wa jana sio wewe wa leo, na wewe wa leo usiwe tena hivyo keshoPia changamoto nyingine kwa sasa nina 27 years ninaona nmechelewa wenzangu wana kazi nzuri wana magari wanapost wanaenda sehem nzuri wanavaa nguo nzuri mi narudia rudia tu nguo
ishi maisha yako maisha ya kwenye picha yasikuumize kichwa, kuna unapofikia na uinjoiPia changamoto nyingine kwa sasa nina 27 years ninaona nmechelewa wenzangu wana kazi nzuri wana magari wanapost wanaenda sehem nzuri wanavaa nguo nzuri mi narudia rudia tu nguo
Funny but not funnyPia changamoto nyingine kwa sasa nina 27 years ninaona nmechelewa wenzangu wana kazi nzuri wana magari wanapost wanaenda sehem nzuri wanavaa nguo nzuri mi narudia rudia tu nguo
Unasoma badaa uwekeze kwenye biashara unazinguaAcha tu nimeanza masters yangu MBA since 2021 changamoto za ada,ujana na majukumu ya watoto wawili mpaka sasa sijamaliza,ada Sasa semester ya mwisho ndo imekuwa ngumu mikopo nadaiwa kuanzia garage mpaka dukani mpaka najuta kusoma MBA....ooh God please hii MBA ije inilipe maana inanitesa sana familia inakula wali kama wanafunzi waa boarding
Pia changamoto nyingine kwa sasa nina 27 years ninaona nmechelewa wenzangu wana kazi nzuri wana magari wanapost wanaenda sehem nzuri wanavaa nguo nzuri mi narudia rudia tu nguo
Nna miaka 27, sina lolote la kimaisha. Nakaa kwa shangazi na sina kazi ila kuna mahali najitolea miaka miwili sasa hvy angalau chochote kidogo nakipata japokuwa hakiwezi kunifikisha mahali
Mkuu !Pole sana kwa unayopitia kwa sasa.Nna miaka 27, sina lolote la kimaisha. Nakaa kwa shangazi na sina kazi ila kuna mahali najitolea miaka miwili sasa hvy angalau chochote kidogo nakipata japokuwa hakiwezi kunifikisha mahali