Umerogwa sio bure: Unang'ang'ania Dar es miaka mingi, kula kwa shida, kulala kwa shida, unasafiri kwa shida huku kuna ardhi Tanzania haina mwenyewe

Kaka hapa daslamu ukibahatika kufika kariakoo uka keti zako barazani mwa duka la watu let say pembeni mwa duka la simu wapo hawa mama ntilie wadada wazuri utashangaa tu wanakuliza kaka nikuletee supu na chapati ..... huja kaa sawa utashangaa hii hapa ..... wakiamini wew upo hapo dukani ... ukisha Shiba ndo utamua sasa uendelee kukaa hapo au mchana napo utafte chimbo lingine kwajili ya msosi wa mchana maana...... sasa nikulize wew nikija hko lindi fursa kama hizi zipo au ndo mtaji wa masikini ni nguvu zake
 
“Ninakutafuta nikupe zawadi popote ulipo”
 
Kijana mbona una ongea Ukweli mtupu wewe?
Unaumiza wengi sana, si unajua tena ukweli unauma, na ukweli huwa mchungu? Hili jiwe wamenusurika vijana wachache sana kwakweli
 
Ni sehemu gani ukishi mwaka mmoja unapewa nyumba na kiwanja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…