eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Wazee wa Mwindi na ekisposha
Mngekuwa Dar mngeweza kuandika haya maneno kwa usahihi.
Nyie bakini mikoani mfubae
Mbona nanyie Dar mmepauka balaa. teh teh teheee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee wa Mwindi na ekisposha
Mngekuwa Dar mngeweza kuandika haya maneno kwa usahihi.
Nyie bakini mikoani mfubae
Kaka hapa daslamu ukibahatika kufika kariakoo uka keti zako barazani mwa duka la watu let say pembeni mwa duka la simu wapo hawa mama ntilie wadada wazuri utashangaa tu wanakuliza kaka nikuletee supu na chapati ..... huja kaa sawa utashangaa hii hapa ..... wakiamini wew upo hapo dukani ... ukisha Shiba ndo utamua sasa uendelee kukaa hapo au mchana napo utafte chimbo lingine kwajili ya msosi wa mchana maana...... sasa nikulize wew nikija hko lindi fursa kama hizi zipo au ndo mtaji wa masikini ni nguvu zakeBila salamu nawapa ujumbe wenu enyi watu.
Mnaweza kusema kuwa najiinua au nawakashifu ila Mimi siko huko. Ni upendo tu.
Waarabu wanasema fikisha ujumbe hata kama ni mchungu.
Miaka 5 inatosha kabisa mtu kupima bahati ya maisha Dar es salaam au mahali popote.
Unaishi Dar miaka zaidi ya 5 huna nyumba, huna kiwanja, kula kwako ndo kule unatafuta leo ili ule leo, kila siku kwenye daladala wewe ukichomoa pesa kubwa basi buku 2.
Unalala store (jiko, meza, sofa, feni, kitanda, pasi, bag la nguo na vitu vingine vyote ukifungua macho tu hivi hapa.
Tanzania hii kuna mahali kama Liwale huko Lindi ukifika kijiji chochote ukiomba ardhi ya kujenga au kulima unapewa bure kabisa. Yet wewe uko dar hata hatua 4 za ardhi Chanika huna . Umerogwa shituka
Kijijini wenzako wenye bidii wanamiliki pikipiki, gari, guta, nyumba, duka nk.
Kijijini ni bidii zako tu. Mjini kuna pesa kuliko kijijini ila kama kila ukihangahika huzipati za kukukwamua ni vyema utafute chimbo kijijini.
Braza alifika kijiji fulani kuuliza ardhi ya kulima huko chobingo akapewa upana wa hekari 5 urefu ajipimie mwenyewe.
Kama akilima hekari 40 na kupanda mikorosho baada ya miaka 5 atakuwa wapi?
Nakuuliza wewe unayelipwa laki 2 na Mwindi.
ni kweli blaza!wala chips mikoani hawawezi toboa, nasikia huko daslama ukimsifia na kumpamba mtu anakupa hela...!! et ni kweli wajameni..??
“Ninakutafuta nikupe zawadi popote ulipo”Bila salamu nawapa ujumbe wenu enyi watu.
Mnaweza kusema kuwa najiinua au nawakashifu ila Mimi siko huko. Ni upendo tu.
Waarabu wanasema fikisha ujumbe hata kama ni mchungu.
Miaka 5 inatosha kabisa mtu kupima bahati ya maisha Dar es salaam au mahali popote.
Unaishi Dar miaka zaidi ya 5 huna nyumba, huna kiwanja, kula kwako ndo kule unatafuta leo ili ule leo, kila siku kwenye daladala wewe ukichomoa pesa kubwa basi buku 2.
Unalala store (jiko, meza, sofa, feni, kitanda, pasi, bag la nguo na vitu vingine vyote ukifungua macho tu hivi hapa.
Tanzania hii kuna mahali kama Liwale huko Lindi ukifika kijiji chochote ukiomba ardhi ya kujenga au kulima unapewa bure kabisa. Yet wewe uko dar hata hatua 4 za ardhi Chanika huna . Umerogwa shituka
Kijijini wenzako wenye bidii wanamiliki pikipiki, gari, guta, nyumba, duka nk.
Kijijini ni bidii zako tu. Mjini kuna pesa kuliko kijijini ila kama kila ukihangahika huzipati za kukukwamua ni vyema utafute chimbo kijijini.
Braza alifika kijiji fulani kuuliza ardhi ya kulima huko chobingo akapewa upana wa hekari 5 urefu ajipimie mwenyewe.
Kama akilima hekari 40 na kupanda mikorosho baada ya miaka 5 atakuwa wapi?
Nakuuliza wewe unayelipwa laki 2 na Mwindi.
Kazi ya uhakika au sioMimi niko Dar mwaka wa 8 sasa ni government employee . Sasa unataka niache kazi ya uhakika nikalime?
Nikitaka kulima huwa nalima mazao ya msimu Njombe viazi mviringo.
Kijana mbona una ongea Ukweli mtupu wewe?Bila salamu nawapa ujumbe wenu enyi watu.
Mnaweza kusema kuwa najiinua au nawakashifu ila Mimi siko huko. Ni upendo tu.
Waarabu wanasema fikisha ujumbe hata kama ni mchungu.
Miaka 5 inatosha kabisa mtu kupima bahati ya maisha Dar es salaam au mahali popote.
Unaishi Dar miaka zaidi ya 5 huna nyumba, huna kiwanja, kula kwako ndo kule unatafuta leo ili ule leo, kila siku kwenye daladala wewe ukichomoa pesa kubwa basi buku 2.
Unalala store (jiko, meza, sofa, feni, kitanda, pasi, bag la nguo na vitu vingine vyote ukifungua macho tu hivi hapa.
Tanzania hii kuna mahali kama Liwale huko Lindi ukifika kijiji chochote ukiomba ardhi ya kujenga au kulima unapewa bure kabisa. Yet wewe uko dar hata hatua 4 za ardhi Chanika huna . Umerogwa shituka
Kijijini wenzako wenye bidii wanamiliki pikipiki, gari, guta, nyumba, duka nk.
Kijijini ni bidii zako tu. Mjini kuna pesa kuliko kijijini ila kama kila ukihangahika huzipati za kukukwamua ni vyema utafute chimbo kijijini.
Braza alifika kijiji fulani kuuliza ardhi ya kulima huko chobingo akapewa upana wa hekari 5 urefu ajipimie mwenyewe.
Kama akilima hekari 40 na kupanda mikorosho baada ya miaka 5 atakuwa wapi?
Nakuuliza wewe unayelipwa laki 2 na Mwindi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wazee wa Mwindi na ekisposha
Mngekuwa Dar mngeweza kuandika haya maneno kwa usahihi.
Nyie bakini mikoani mfubae
Wanajiona wa town....kuwahi mwendo kasi ili wawahi kwa Mwindi.... 😆 😆 😆 😆Wazoefu wa kushika bomba kwenye daladala hawatakuelewa, wao kuamka saa 10 alfajiri kulala saa 6 usiku kama majinga.
Watu wenye maisha magumu wapo Dar tu acheni mawazo mgando mi nimeishi Morogoro ndani ndani maisha ni magumu nikaja kuishi Dodoma still hali ni mbaya so kuhama sehemu hakuwezi kukufanya ukawa big bosshuu ushamba wa watu kuona dar ndo kila kitu utaponza watu wengi....
Kinachowauma nyinyi ni watu kupanda mwendokasi kweli wivu ni tatizo sugu..Wanajiona wa town....kuwahi mwendo kasi ili wawahi kwa Mwindi.... 😆 😆 😆 😆
Ukishamaliza Tanzania nzima na bado haujafanikiwa utasema uende nchi za nje ukienda nje usipofanikiwa utasema uende sayari nyingine.unaenda tu kutest labda itakubali😅
Ni sehemu gani ukishi mwaka mmoja unapewa nyumba na kiwanja?Bila salamu nawapa ujumbe wenu enyi watu.
Mnaweza kusema kuwa najiinua au nawakashifu ila Mimi siko huko. Ni upendo tu.
Waarabu wanasema fikisha ujumbe hata kama ni mchungu.
Miaka 5 inatosha kabisa mtu kupima bahati ya maisha Dar es salaam au mahali popote.
Unaishi Dar miaka zaidi ya 5 huna nyumba, huna kiwanja, kula kwako ndo kule unatafuta leo ili ule leo, kila siku kwenye daladala wewe ukichomoa pesa kubwa basi buku 2.
Unalala store (jiko, meza, sofa, feni, kitanda, pasi, bag la nguo na vitu vingine vyote ukifungua macho tu hivi hapa.
Tanzania hii kuna mahali kama Liwale huko Lindi ukifika kijiji chochote ukiomba ardhi ya kujenga au kulima unapewa bure kabisa. Yet wewe uko dar hata hatua 4 za ardhi Chanika huna . Umerogwa shituka
Kijijini wenzako wenye bidii wanamiliki pikipiki, gari, guta, nyumba, duka nk.
Kijijini ni bidii zako tu. Mjini kuna pesa kuliko kijijini ila kama kila ukihangahika huzipati za kukukwamua ni vyema utafute chimbo kijijini.
Braza alifika kijiji fulani kuuliza ardhi ya kulima huko chobingo akapewa upana wa hekari 5 urefu ajipimie mwenyewe.
Kama akilima hekari 40 na kupanda mikorosho baada ya miaka 5 atakuwa wapi?
Nakuuliza wewe unayelipwa laki 2 na Mwindi.
Hao ni vijana wa kigomaSahivi vijana wa daslam wameanzisha tabia ya kuwasifia wanaume wenzao wenye kipato tena wanawasifia kupita kiasi ili tu wapewe chochote wanajiita machawa mwisho nao wanalilia kuolewa