Umerogwa sio bure: Unang'ang'ania Dar es miaka mingi, kula kwa shida, kulala kwa shida, unasafiri kwa shida huku kuna ardhi Tanzania haina mwenyewe

Ukiondoa kabila la Wakinga hapo mzizima..

Wengine Walio baki ni matajiri wa kutokwa na Jasho kila saa mwili.
 
Kwanini wa mikoani ndo wanalazimisha wenzao waondoke Dsm?

Kama umeondoka si ukae kimya?
Kizuri kula na nduguyo, uoni tunavyoshiliwa bango tusipoenda makanisani, mpaka unasema eeh bhamna nenda peke yako mbinguni.
 
Hahahah! Kwahiyo wewe hiyo supu ndio mafanikio yako
 
Chunguza watu wengi walioko dar walipelekwa na ndugu zao kutumikishwa wengine waliwaona wenzao wanao ishi dar walipo ludi kijijini kusalimia wakadhani walisha tajirika

Ukweli uko hivi wengi walioko dar wametoka makwao hali yakuwa hawajawahi kufika mikoa mingine tofaoti na wapo zaliwa ndio

Kwamtu alie hamia dar kibiashara ambapo yumbatu mala moja urudi nyuma na kwenda kuanza maisha mikoa mingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…