Inawezekanaje shahidi awakilishwe? Lisu hakuforesee hilo mapema?Ninachofahamu ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali ndiyo itapeleka mwakilishi. Huyo Mama hawezi kwenda. Inaogopesha sana kuulizwa maswali na huyu mwamba! Jamaa ana maswali ya mitego mpaka basi.
Shahidi wake ni huyo, kichwa kimoja hakiwezi kutumiwa na watu wawili. Mkapa alitinga mahakamani kutoa ushahidi.Ninachofahamu ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali ndiyo itapeleka mwakilishi. Huyo Mama hawezi kwenda.
'Nywinywinywi ilimaanishwa tiba na mwarobaini wa kuangamiza na kutokomeza kabisa ugaidi uliopangwa kupitia kauli "mwaka huu tutakinukisha kisawasawa". Kwakweli ugaidi uliangamizwa na naomba majaji na gaidi muuliza swali wapige makofi tafadhali'“Uliagiza jeshi lijiandae na uchaguzi?"
Na ulisema hakutakuwa na nywinywi wala nywinywinywi, waambie majaji kwa nini uliosababisha mauaji makubwa Oktoba 29. Hujakamatwa.
Na mimi sina hatia yoyote, natakiwa ninyongwe!”
Waeleze majaji “nywinywi nywii” ulimaanisha nini.
Hatakubali asimame kizimbani!“Uliagiza jeshi lijiandae na uchaguzi?"
Na ulisema hakutakuwa na nywinywi wala nywinywinywi, waambie majaji kwa nini uliosababisha mauaji makubwa Oktoba 29. Hujakamatwa.
Na mimi sina hatia yoyote, natakiwa ninyongwe!”
Waeleze majaji “nywinywi nywii” ulimaanisha nini.
Hoja mbovu kabisa hii!'Nywinywinywi ilimaanishwa tiba na mwarobaini wa kuangamiza na kutokomeza kabisa ugaidi uliopangwa kupitia kauli "mwaka huu tutakinukisha kisawasawa". Kwakweli ugaidi uliangamizwa na naomba majaji na gaidi muuliza swali wapige makofi tafadhali'
Imetokana na swali uozoHoja mbovu kabisa hii!
Prof Mahalu caseMkapa alishawai kupanda kizimbani kutoa ushahidi kwenye kesi ya ufisadi ya muwakilishi wa tanzania nchini italia na kipindi hicho wazir wa mambo ya nje alikua jk
Je, kama kukiwekwa lile kabati refu itawezekana? Manake hataonekana.Hatakubali asimame kizimbani!
“Uliagiza jeshi lijiandae na uchaguzi?"
Na ulisema hakutakuwa na nywinywi wala nywinywinywi, waambie majaji kwa nini uliosababisha mauaji makubwa Oktoba 29. Hujakamatwa.
Na mimi sina hatia yoyote, natakiwa ninyongwe!”
Waeleze majaji “nywinywi nywii” ulimaanisha nini.
Katiba haikumhusu Ben Mkapa?Rais kwenda mahakamani ni hiari yake sio lazima aende. Analindwa na Katiba muwe mnaelewa.
Elewa nilichoandika - HIARI. Mkapa asingeenda mngemfanya nini labda?Katiba haikumhusu Ben Mkapa?
Elimu ya kachumbari?Akifika pale ndio elimu yake ya kuunga unga itajulikana hata kama alificha mengine
Nadhani Mkapa alienda kwa hiari yake kumtetea mteule wake.Katiba haikumhusu Ben Mkapa?