GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,885
- 18,636
Watu mnashindwa hata kusoma alama za nyakati.
Huyo Rais hawezi kwenda kupanda kutoa ushihidi.
Huyo Rais hawezi kwenda kupanda kutoa ushihidi.
Tuwekee na kifungu cha katiba sasa kiongozi wangu ili tujifunzeRais kwenda mahakamani ni hiari yake sio lazima aende. Analindwa na Katiba muwe mnaelewa.
Mkapa alipanda akiwa Rais mstaafuMkapa alishawai kupanda kizimbani kutoa ushahidi kwenye kesi ya ufisadi ya muwakilishi wa tanzania nchini italia na kipindi hicho wazir wa mambo ya nje alikua jk
🤣🤣🤣“Uliagiza jeshi lijiandae na uchaguzi?"
Na ulisema hakutakuwa na nywinywi wala nywinywinywi, waambie majaji kwa nini uliosababisha mauaji makubwa Oktoba 29. Hujakamatwa.
Na mimi sina hatia yoyote, natakiwa ninyongwe!”
Waeleze majaji “nywinywi nywii” ulimaanisha nini.
tuwekee hiyo Ibara ya Katiba hapa. tujifunze,---- JF kisima cha MaarifaRais kwenda mahakamani ni hiari yake sio lazima aende. Analindwa na Katiba muwe mnaelewa.
OK. HIARI.Elewa nilichoandika - HIARI. Mkapa asingeenda mngemfanya nini labda?
Mkapa alienda akiwa nje ya madaraka..Shahidi wake ni huyo, kichwa kimoja hakiwezi kutumiwa na watu wawili. Mkapa alitinga mahakamani kutoa ushahidi.
Atasema shikamoo Tundu Lissu, mi ni Mzanzibari maswali magumu siyawezi, wee uliza maswali yanayoendana na kiwango changu cha elimu mbalimbali“Uliagiza jeshi lijiandae na uchaguzi?"
Na ulisema hakutakuwa na nywinywi wala nywinywinywi, waambie majaji kwa nini uliosababisha mauaji makubwa Oktoba 29. Hujakamatwa.
Na mimi sina hatia yoyote, natakiwa ninyongwe!”
Waeleze majaji “nywinywi nywii” ulimaanisha nini.
Hivi kuna anasiyejua kwamba kwa mujibu wa Katiba, Rais hashtakiwi mahakamani kwa kosa lolote tena whether yuko madarakani au baada ya kuacha madaraka?tuwekee hiyo Ibara ya Katiba hapa. tujifunze,---- JF kisima cha Maarifa
Kinga bado anakuwa nayo.Mkapa alienda akiwa nje ya madaraka..
Kiongozi hili jambo siku zote linajulikana - rais ana kinga ya kutoshtakiwa!Tuwekee na kifungu cha katiba sasa kiongozi wangu ili tujifunze
Waeleze hawa Gen Z wasiojuwa haya mambo.Kinga bado anakuwa nayo.
Kinga ya rais kutoshtakiwa ni ya maisha! Mkapa pamoja na kupanda akiwa mstaafu ilikuwa ni HIARI yake. Angeamua kutopanda asingefanywa chochote, na yeyote, wakati wowote!Mkapa alipanda akiwa Rais mstaafu
kwenye kesi ya Lissu Rais hashtakiwi, ni shahidi. Tuoneshe ibara kwenye katiba inayosema Rais hatakiwi kuwa shahidi kwenye kesi iliyoko mahakamani.Hivi kuna anasiyejua kwamba kwa mujibu wa Katiba, Rais hashtakiwi mahakamani kwa kosa lolote tena whether yuko madarakani au baada ya kuacha madaraka?
Sitaweka ibara yoyote maana jambo la wazi kama hili ulipaswa kulijua na kuliishi!
mkapa hakuwa mahstakiwa. Alikuwa shahidiKinga ya rais kutoshtakiwa ni ya maisha! Mkapa pamoja na kupanda akiwa mstaafu ilikuwa ni HIARI yake. Angeamua kutopanda asingefanywa chochote, na yeyote, wakati wowote!
Pale anakwenda kama shahidi wa mshitakiwa na sio kama mshitakiwa swali langu kifungu gani cha sheria kinachozuia raisi asiende kama shahidi?Kiongozi hili jambo siku zote linajulikana - rais ana kinga ya kutoshtakiwa!