magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 14,029
- 34,441
Akiweka mniite Mwantumu Cheupe.tuwekee hiyo Ibara ya Katiba hapa. tujifunze,---- JF kisima cha Maarifa
Akiweka mniite Mwantumu Cheupe.tuwekee hiyo Ibara ya Katiba hapa. tujifunze,---- JF kisima cha Maarifa
Duh! Kwa hiyo anaenda kama Mshtakiwa?Hivi kuna anasiyejua kwamba kwa mujibu wa Katiba, Rais hashtakiwi mahakamani kwa kosa lolote tena whether yuko madarakani au baada ya kuacha madaraka?
Sitaweka ibara yoyote maana jambo la wazi kama hili ulipaswa kulijua na kuliishi!
Enzi za JK, Mahakama ilikuwa na uhuru katika kufanya maamuzi, Basil Mramba (rip) na Daniel Yona walikaa mahabusu na wakaja kupewa adhabu ya kufanya kazi za kijamii. Wakawa wanafanya usafi pale Sinza Palestina HospitalMkapa alishawai kupanda kizimbani kutoa ushahidi kwenye kesi ya ufisadi ya muwakilishi wa tanzania nchini italia na kipindi hicho wazir wa mambo ya nje alikua jk
Uko sahihi. Sheria haimzuii wala kumlazimisha kwenda kutoa ushahidi mahakamani. Kule juu nimesema ni HIARI yake. Tatizo mleta mada alivyowasilisha hoja yake ni kana kwamba rais "atakoma".Pale anakwenda kama shahidi wa mshitakiwa na sio kama mshitakiwa swali langu kifungu gani cha sheria kinachozuia raisi asiende kama shahidi?
Ni sahihi. Ila ukimsoma mleta mada between the lines kawailisha kishabiki unnecessarily.mkapa hakuwa mahstakiwa. Alikuwa shahidi
Hakuna mahali popote shahidi huwakilishwa..Ninachofahamu ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali ndiyo itapeleka mwakilishi. Huyo Mama hawezi kwenda.
Jambo la wazi? Nahisi uliyemjibu analijua na analiishi ndio maana kakutaka umpe ibara ipi ya katiba. Kwa muktadha wetu Samia hajashitakiwa Kwa kosa lolote Ila ni shahidi tu kama mashahidi wengine, je ni Ibara gani ya katiba inayomlinda kutofika mahakamani?Hivi kuna anasiyejua kwamba kwa mujibu wa Katiba, Rais hashtakiwi mahakamani kwa kosa lolote tena whether yuko madarakani au baada ya kuacha madaraka?
Sitaweka ibara yoyote maana jambo la wazi kama hili ulipaswa kulijua na kuliishi!