Umeshakutana na shida gani kwenye gari lako upewe suluhisho?

Nikitembea km350+ wakat fuel inaend robo tank taa ya oil inawaka na Gari inakosa nguvu huw naipak pembn nkuchek oil ipo nikiwash naendelea na safar vzr tuu

Premio x
2005
Cc1790
 
Nikitembea km350+ wakat fuel inaend robo tank taa ya oil inawaka na Gari inakosa nguvu huw naipak pembn nkuchek oil ipo nikiwash naendelea na safar vzr tuu

Premio x
2005
Cc1790
Unao uhakika na alichoandika?
 
Nikitembea km350+ wakat fuel inaend robo tank taa ya oil inawaka na Gari inakosa nguvu huw naipak pembn nkuchek oil ipo nikiwash naendelea na safar vzr tuu

Premio x
2005
Cc1790
Taa ya oil sio ya kuipuuzia.
 
Ka Ushakutana na shida yoyote kwenye gari yako ikakutatiza share Hapa Usaidiwe
Gari ilikuwa inatoa mlio wa kuvuma sikujua unatokea wapi lkn ilikuwa sio kwenye Engine, nikaenda kwa fundi wangu akachek tair zote akabaini kumbe bearing za tair za mbele zilikuwa zimechoka.....nikabadili ikaa poa kbs. Asante fundi Hamis
 
spedomita inasoma vizuri na trip a na trip b zinasoma vizuri lakini klm za kutoka na gari hazisomi zimesimamia mahali moja.nini tatizo.ni alfard
 
spedomita inasoma vizuri na trip a na trip b zinasoma vizuri lakini klm za kutoka na gari hazisomi zimesimamia mahali moja.nini ta
Hiyo itakuwa
spedomita inasoma vizuri na trip a na trip b zinasoma vizuri lakini klm za kutoka na gari hazisomi zimesimamia mahali moja.nini tatizo.ni alfard
imefanyiwa odometer rollback.
 
Hilo jini bila shaka engine yake inaanzia 2000 CC nakuendelea [emoji1787][emoji1787]
 
Hilo jini bila shaka engine yake inaanzia 2000 CC nakuendelea [emoji1787][emoji1787]
Uko sahihi kabisa.
Lakini watu ndo wanaiita gari.
Hii inayonisumbua utasikia wanaita "kigari"
Yaani badala ya kusema gari wanasema "kigari"
 
Kwa ufahamu wangu gari ikiwashwa silenser inakuwa normal ila ukiiongezea mzigo kwa kuwasha A.C bc silenser inaongezeka ili kuongeza ufanisi wa charging system
Na ukipima charging system isishuke 13V wakati umewasha AC
N kwa uzoefu wangu mkuu
 
Mkuu hv kuna tofauti kati ya wheel balance na wheel alignment?
Naomba kujua [emoji848]
 
nina nissani teana shida yake kubwa ikiwa inatembea Oil inaleak kwenye engine na pia ikiwa on ukichomoa ile stick ya kupima Oil kuna presha kubwa inatoka na Oil inaruka unaweza kuchafuka uso mzima

hii shida yake ni nn?
Mashine ya kufungua hiyo, hapo imekata piston rings, block imetanuka au imechimba.
 
Mkuu hv kuna tofauti kati ya wheel balance na wheel alignment?
Naomba kujua
Wheel alignment ni uwekaji (setting) wa matairi katika ufanyakazi wa urari. Kama tairi haziko katika urari (alignment) ukinyoosha uskani gari itaenda kushoto au kulia. Kwa ufupi wheel alignment inahusiana na
Mkuu hv kuna tofauti kati ya wheel balance na wheel alignment?
Naomba kujua [emoji848]
wheel alignment inahusiana na suspension ya gari hasa sehemu zinazoshikilia tairi. Hivyo unapofanya wheel alignment tairi haiguswi.

Wheel balance inahusiana na ujazo wa tairi linapotoka kiwandani. Kama tairi halina ujazo uliyojaa kwa vipimo sawa basi litasawazishwa kwa kuongezewa baadhi ya vitu na hii ndiyo wheel balance.

Dalali za kuwa gari yako inahitaji wheel alignment ni gari kwende kushoto au kulia ili hali uskani upo katikati.

Dalili za kuwa gari yako inahitaji wheel balance ni uskani wa gari kutetemeka unapofikia speed fulani na pia tairi kuisha sehemu mmoja pia inaweza kuwa dalili.
 
Clear code tu inshu inaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…