Mounting hizo πWewe Mbute bora ukauke uwe bhutaga sasa. Gari ile inatetemeka ikiwa Silence ikianza kutembea inatulia tuliiiii unapiga hadi 160 safi. Tatizo ikisimama tu lazima utoe kwenye D uweke kwenye P au N ndio hutosikia mtetemo lkn ikiwa imesimama ikawa engaged kwenye D ni kasheshe
Hahahahah mkuu gari inatetemeka ana hakika bearing ziko sawa pamoja na mountings? Kama viko byee basi afanye mpango wa wheel balance. Isipofaa hapo acheki mfumo mzima wa uchomaji kuanzia air filter, fuel filter, nozzle, oxygen sensor, plugs n.k.
Hakika atapata suluhu katika hayo.
Au tairi moja ina ka uvimbe somewhere, try to check thatUskan kutetemeka.
Mara Engine Mounting ... hola.
Mara plugs ... hola.
Mara alignment .. hola.
Mara plug wire ... hola.
Kitu kipo bandani kimepaki.
Au tairi moja ina ka uvimbe somewhere, try to check that
Gari gani hiyo, brevis?Tatizo la kusingiziwa kwamba inakula sana mafuta
Weka hata jina la gari!Haina nguvu ya kuovertake hata ukanyage kibati hadi mwisho
Kuna spray kwajiri ya hii kitu. Inakata kabisa kutu.Kutu kwenye Diff ya nyuma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku gari yangu inaenda kupata ajali iliyo I write off iliniambia na mimi na upumbavu wangu sikuielewa ile lugha.
2010 tuko Brajeck tumemaliza kula na kunywa, mshikaji ananiambia twende tumpeleke msichana wake na rafiki yake Tegeta.
Naingia ndani ya gari, na engage gear, gari ikagoma kwenda. Baada ya dakika mbili likakubali, najiuliza hiki ni nini kimetokea?
Tukaenda Tegeta, tukawaacha wale warembo, tukiwa tunarudi tukagongwa na gari ingine, gari ikaharibika beyond repair.
Baada ya ajali ndipo nikaelewa, gari ilikuwa I anikataza nisiende kwenye hiyo safari.
Usiishi kwa kuclamisha kwani January inahusiana nini na wewe kukosa 180K.Nibadilishe alternator?
Sasa 180,000 na January hii naitoa wapi mie?
Inaitwaje Boss niitafute mara mojaKuna spray kwajiri ya hii kitu. Inakata kabisa kutu.
Shida sio gear box kweli? hebu subiri wataalamu waje.IST UKIWEKA TU D UNANZE KUONDOKA INASHTUKA NAKULIA 'KUUU" shida itakuwa ni nini ?
ππ , ndioGari gani hiyo, brevis?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jini hilooo...linakunywaa mafutaa![emoji16][emoji16] , ndio
Daaah, kwahiyo si tunaendesha majini, kweli jamani?![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jini hilooo...linakunywaa mafutaa!
Tatizo la gari kuwa nzito ukiwasha AC yani hata speed inachelewa kuchanganyaa.. shida ni nini???
Pia nauliza mtu anaweza kurepair sensor za milango na belts???
Mna helaa za mafutaa mkuu...Daaah, kwahiyo si tunaendesha majini, kweli jamani?!
Jamani mambo ya January unayaleta May...Usiishi kwa kuclamisha kwani January inahusiana nini na wewe kukosa 180K.
Wewe save pesa ukanunue. Ilibidi kopa.