Umeshawahi ku date na mwanaume wa hivi?

ntuchake

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2024
Posts
408
Reaction score
1,549
Mwanaume ambae ukiachana nae anakwambia nirudishie vitu vyangu vyote nilivyokununulia πŸ˜‚ utasema alikununulia vitu vya mamilioni kumbe ulikua unamvumilia tu na umasikini wake.
Alafu vitu alivyokununulia unaweza kumlipa ata mara 10 yake.
 
Mwanaume ambae ukiachana nae anakwambia nirudishie vitu vyangu vyote nilivyokununulia πŸ˜‚ utasema alikununulia vitu vya mamilioni kumbe ulikua unamvumilia tu na umasikini wake. Alafu vitu alivyokununulia unaweza kumlipa ata mara 10 yake.
Unadate na watoto , watu ambao hawajapevuka kiakili. Si wote lakin wako hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…