Umeshawahi ku date na mwanaume wa hivi?

Umeshawahi ku date na mwanaume wa hivi?

Mimi hua sidai hata kidogo, hata kuumia kua nilimpa kitu fulani siwezi.

Na vinakuaga na msaada sana pale ninapo taka kupasha makabichi 😄, me be like hivi ile saa haijachakaa tu, umefika wakati tununue nyingine dear x 😄

Anya way hii sio kwa kila X, kuna wale ma x exceptional ni basi tu tuliachanaga
 
Huwa mna date na vijana wa hivyo mwisho wa siku mnasema wanaume wote ni mbwa😅😅😅
 
Sijawai kumruhusu animwagie mtu mwenyewe hana hela ya nini animwagie anitie gundu!
Issue sio kumwagiwa,ila si alishakunyonya papuchi na kuichezea chezea kwa kuishika shika mpaka ikatepeta?
 
Mwanaume ambae ukiachana nae anakwambia nirudishie vitu vyangu vyote nilivyokununulia 😂 utasema alikununulia vitu vya mamilioni kumbe ulikua unamvumilia tu na umasikini wake.
Alafu vitu alivyokununulia unaweza kumlipa ata mara 10 yake.
Hizo link ya jf huko fb... lafiliraahi karibuni
 
Mwanaume ambae ukiachana nae anakwambia nirudishie vitu vyangu vyote nilivyokununulia 😂 utasema alikununulia vitu vya mamilioni kumbe ulikua unamvumilia tu na umasikini wake.
Alafu vitu alivyokununulia unaweza kumlipa ata mara 10 yake.
Ingawa si lazima lakini kama uwezo unao kama unavyodai bhasi mrudishie kuondoa bugudha then mute kabisa katika diary ya ubongo wako.
 
Back
Top Bottom