Umeshawahi ku date na mwanaume wa hivi?

Umeshawahi ku date na mwanaume wa hivi?

Mwanaume ambae ukiachana nae anakwambia nirudishie vitu vyangu vyote nilivyokununulia 😂 utasema alikununulia vitu vya mamilioni kumbe ulikua unamvumilia tu na umasikini wake.
Alafu vitu alivyokununulia unaweza kumlipa ata mara 10 yake.
Hii ndio maana halisi ya 'Ubaya Ubwela'.

Na msosi mliokuwa mnakula dina anadai hela yake?
 
Nilijua ni siasa tu kumbe hata mapenzi kwa waafrika ni tabu tupu.
 
Mwanaume ambae ukiachana nae anakwambia nirudishie vitu vyangu vyote nilivyokununulia 😂 utasema alikununulia vitu vya mamilioni kumbe ulikua unamvumilia tu na umasikini wake.
Alafu vitu alivyokununulia unaweza kumlipa ata mara 10 yake.
Binafsi nitakudai hata penzi nililokupa enzi za uhai wetu
 
Mwanaume ambae ukiachana nae anakwambia nirudishie vitu vyangu vyote nilivyokununulia 😂 utasema alikununulia vitu vya mamilioni kumbe ulikua unamvumilia tu na umasikini wake.
Alafu vitu alivyokununulia unaweza kumlipa ata mara 10 yake.
pole
sasa unabaki navyo ili iweje
 
Mwanaume ambae ukiachana nae anakwambia nirudishie vitu vyangu vyote nilivyokununulia 😂 utasema alikununulia vitu vya mamilioni kumbe ulikua unamvumilia tu na umasikini wake.
Alafu vitu alivyokununulia unaweza kumlipa ata mara 10 yake.
Unavyosema unamvumilia , unamaanisha nin? na kwanini umvumilie?, kwamba unataka kusema hana hadhi ya kuwa na wewe unampa favour tuu 🤔, Na kama hana hiyo hadhi kwanini wenye hadhi yako hawakufuati?
 
Kama vyake yupo sahihi, mm huwa nawaunga mkono wale ambao mkiachana adai vyake, nakudai yupo sahihi 100%.Alikuwa akijua mko pamoja umeondoka viache utakuta vingine uendapo
 
🤣🤣🤣 Baba Mchungaji umefanya nimecheka. Lol.

Mi mwenyewe nimetatanishika sababu siku zote nikionaga hiyo Id najuaga huwa ni Me.
Kipindi hiki jf inapitia wakati mgumu sana mama mchungaji...🤣
 
Nakuletea invoice
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em leta Mr Vochaa hiyo invoice
Unaweza shangaa nakuongezea mahitajii, wee huogopiii?

Kwani em njoo kulee, nikunong'onezee jamboo boss ake.
 
Back
Top Bottom