- Thread starter
- #121
Sijawai kumruhusu animwagie mtu mwenyewe hana hela ya nini animwagie anitie gundu!Kama mlisex mwambie afanye juu chini azitoe mbegu alizokumwagia ndo urudishe hicho anachokidai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawai kumruhusu animwagie mtu mwenyewe hana hela ya nini animwagie anitie gundu!Kama mlisex mwambie afanye juu chini azitoe mbegu alizokumwagia ndo urudishe hicho anachokidai
Wacha weee! Wanaomwaga mpaka waruhusiwe? Basi ulidate mjinga asiekuwa na akiliSijawai kumruhusu animwagie mtu mwenyewe hana hela ya nini animwagie anitie gundu!
Kumbe mnagegedwagwa na wanaume maskini 🤣🤣🤣🤣🤣Mwanaume ambae ukiachana nae anakwambia nirudishie vitu vyangu vyote nilivyokununulia 😂 utasema alikununulia vitu vya mamilioni kumbe ulikua unamvumilia tu na umasikini wake.
Alafu vitu alivyokununulia unaweza kumlipa ata mara 10 yake.
Tena alikuwa anasema "harder, harder,ipake mate"Urudishe tu vitu vya watu, kama kuchapana wote mlikuwa mnapata utamu.
Hahaha, kama mtu hajiwezi,na hilo alilijua,alimganda wa nini? Ya nini apokee huku anajua anapewa pengine vya wizi? Hapo ni kujifaliji tu. Pengine huenda amekomba kila kitu,ndani kweupe. Na godolo na kitanda ukute mshikaji kabeba. Si pengine alikuwa na funguo au kapewa apumzike? Mwenzie kaenda kwa madanga yake, jama nae kavuta Kiriku na kuhamisha vyake,anarudi anakuta michupi tu inaning'inia kwenye hanger, na ni ile ilochanika chanika,alizonunua jama kabeba. Atajua cha kuzifanyia mbele ya safari.Kama ni vya maskini we rudisha ili ww tajiri ubaki na utajiri wako sipendagi kbs watu wa namna yako hivi kwani mkiachana na mtu akaomba vitu alivyokupa ni dhambi si urudishe kisha ukae kimya tu ajabu wakati anakupa ulikuwa unamsifia ni mwamba leo mmesigana anavitaka unadai ni maskini tu ulikuwa unamvumilia pengne hata yeye alikuwa anakuvumilia tu na ww una yako acha gubu rudidha mali za mwenzio uende zako.
Hukuwa una mvumilia kwa umaskini wake! He was the best you could have 🤣🤣. Wanawake hawadate na mwanaume kisa kamuonea huruma, kungekuwa kuna better guy kumdhid ungesem yes kwa huyo bettter dude.Mwanaume ambae ukiachana nae anakwambia nirudishie vitu vyangu vyote nilivyokununulia 😂 utasema alikununulia vitu vya mamilioni kumbe ulikua unamvumilia tu na umasikini wake.
Alafu vitu alivyokununulia unaweza kumlipa ata mara 10 yake.
This logical fallacy is called ad hominem.We si ni fala .kwaiyo unaona sifa au
Badae akitak kuyamaliza Huwa wanaanzaje kuomba msamaha au kurudisha vituKuna jamaa yangu yeye alienda akanyofoa flat screen ukutani, akarudia na ka fridge akabeba begani😂 dada alilia
Umeshampiga chini vitu vyake unataka vya nini sasa, yeye kakununulia kwa sababu anajua upo committed kwake......Mwanaume ambae ukiachana nae anakwambia nirudishie vitu vyangu vyote nilivyokununulia 😂 utasema alikununulia vitu vya mamilioni kumbe ulikua unamvumilia tu na umasikini wake.
Alafu vitu alivyokununulia unaweza kumlipa ata mara 10 yake.
😂😂 AiseeKatika kitu najutia ni X wangu kuondoka na mswaki niliomnunulia
Yaani ana bahati sana sikugundua mapema
Wanayamaliza tu kwa kuombana msamaha na vitu wanarudishianaBadae akitak kuyamaliza Huwa wanaanzaje kuomba msamaha au kurudisha vitu
Sasa si ujinga huo 😂😂Wanayamaliza tu kwa kuombana msamaha na vitu wanarudishiana
HahaaaNitakua namuonea maana hata utamu wenyewe alikuwa hanipi vizuri
Nakuletea invoiceNakaziaa hapaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kama vitu gani alikununulia akaja kuvidai ambavyo wewe unaweza kumnunulia mara 10 yake.Mwanaume ambae ukiachana nae anakwambia nirudishie vitu vyangu vyote nilivyokununulia 😂 utasema alikununulia vitu vya mamilioni kumbe ulikua unamvumilia tu na umasikini wake.
Alafu vitu alivyokununulia unaweza kumlipa ata mara 10 yake.